Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

Waje mashekhe kutufafanulia
Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
 
Au John, Moses nk
 


Hakuna huu mjadala, labda kwenu wagalatia. Hivyo acha uongo. Hii hujaitoa kule X kwa yule chizi aliyewahi kulia lia kwa sababu ya mwanamke kweli?

Unaweza kuswali na viatu maadamu ni visafi.

Ni Sunnah.


"Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “Nilimuuliza Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu): Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio” (al-Bukhaariy na Muslim)."
 
😂😂😂😂
 


Wewe kafiri tulia. Ndio tushakuwa Waislam sasa. Hutaki basi chukua kamba funga juu ya dari ujinyonge
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…