Kwasababu mvaa kobazi mkuu ameenda na viatu. Hao ndiyo wenye dini yao, wanaswali kwa lugha yao, wewe huku ukiletewa usome kitabu cha mwaarabu unatumbua mimacho.Wagalatia hamjui sheria za uislamu, ndio maana mnaona hii ni mada kubwa na hoja
Ni upuuzi wenu tu, hilo jambo lipo kisheria
Na sio kama mnavyofanya wagalatia mnakanyaga mauchafu kisha mnaingia hivyo hivyo kanisani
Acha kupotosha watu. Hawa wapo nje barabaraniNdio ujue kuanzia leo kuwa inafaa kuswali na viatu ikiwa sio vichafu.
Tena ni SUNNAH kuswali na viatu.
Hivyo Mfalme wa Saudia hapo kafanya sawa kabisa.
Au labda Mfalme ndio kavaa basi ndio shida?
Sunan Abi Dawud 652
Narrated Aws ibn Thabit al-Ansari:
The Messenger of Allah (ﷺ) said: Act differently from the Jews, for they do not pray in their sandals or their shoes.
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا مَرْوَانُ بْنُ مُعَاوِيَةَ الْفَزَارِيُّ، عَنْ هِلاَلِ بْنِ مَيْمُونٍ الرَّمْلِيِّ، عَنْ يَعْلَى بْنِ شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ، عَنْ أَبِيهِ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " خَالِفُوا الْيَهُودَ فَإِنَّهُمْ لاَ يُصَلُّونَ فِي نِعَالِهِمْ وَلاَ خِفَافِهِمْ " .
Grade: Sahih (Al-Albani) صحيح (الألباني)حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 652
In-book reference : Book 2, Hadith 262
English translation : Book 2, Hadith 652
Sunan Abi Dawud 652 - Prayer (Kitab Al-Salat) - كتاب الصلاة - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Sahih Muslim 555 a
Sa'd b. Yazid reported:
I said to Anas b. Malik: Did the Messenger of Allah (ﷺ) pray while putting on the shoes? He said: Yes.
حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى، أَخْبَرَنَا بِشْرُ بْنُ الْمُفَضَّلِ، عَنْ أَبِي مَسْلَمَةَ، سَعِيدِ بْنِ يَزِيدَ قَالَ قُلْتُ لأَنَسِ بْنِ مَالِكٍ أَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُصَلِّي فِي النَّعْلَيْنِ قَالَ نَعَمْ .
Reference : Sahih Muslim 555a
In-book reference : Book 5, Hadith 74
USC-MSA web (English) reference : Book 4, Hadith 1129
(deprecated numbering scheme)
Sahih Muslim 555a - The Book of Mosques and Places of Prayer - كتاب الْمَسَاجِدِ وَمَوَاضِعِ الصَّلاَةِ - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
View attachment 3361595
View attachment 3361596
Sunan Ibn Majah 1038deep inside unajua kabisa utaua mtu akiingia msikitini na viatu
Acha kupotosha watu. Hawa wapo nje barabarani
Weka picha ya watu wamevaa viatu msikitini
Ni ushamba wenu tu na ujinga.Dini ikiwa yako, waweza fanya UTAKAVYO!
Waumini wako wanatakiwa kufuata maandiko na siyo matendo yako!
🤭🤣😆😅😂
Kwasababu mvaa kobazi mkuu ameenda na viatu. Hao ndiyo wenye dini yao, wanaswali kwa lugha yao, wewe huku ukiletewa usome kitabu cha mwaarabu unatumbua mimacho.
Ingia msikitini na viatu kama ipo kisheria. Siku hizi mnavaa yeboyebo kuogopa kuibiwa.
Kuna jamaa aliibiwa simu na viatu alipoenda msikitini
Ingia msikitini na viatu kama hawajakukata kichwa wenzako. Huyu alikutwa anasikiliza muziki wa 50 Cent, Uislamu ukaenda na kichwa chakeNi ushamba wenu tu na ujinga.
Inaruhusiwa kuswali na viatu visafi.
Makafiri wakati unatumia 99.9% ya bidhaa na vitu vya makafiri.Picha si hiyo ya Mfalme au kuna shida?
Makafiri bhana!
Ila Alhamdulillah, kuna watu wanajifunza na huenda kuna watu wataongoka na kuingia katika Dini ya Uislam kwa sababu ya nyuzi kama hizi zenu, mnaminyana kuupiga vita Uislam halafu katika hizo hizo vita zenu kuna watu huenda wakaingia katika Uislam kwa Idhini ya Allah. Namuomba Allah akuongoze na wewe na mtos uzi katika Uislam na mfe juu ya Uislam
View attachment 3361619
Japo yanatosha maneno ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Ila nimekuletea na picha kabisa kukuonesha kuwa Sunnah hii iliyosahaulika inatekelezwa bado na watu wanaihuisha Sunnah hii.
Japo hii taarifa ya 2016 sijaithibitisha ila kama ni kweli hao waliodaiwa kufanya hivyo (kama hilo tukio lilitokea kweli) hao ni Makhawaarij wanaojiita IS ambao wanajulikana kwa ujinga wao!Huyu alikutwa anasikiliza muziki wa 50 Cent, Uislamu ukaenda na kichwa chake
Hili najua Waislam wengi hawajui. Hata mimi zamani nilikuwa sijui, hivyo sishangai. Ila watu wanajifunza siku hizi, muamko wa kusoma Dini kwa usahihi ni mkubwa miongoni mwa Waislam na Ilmu inaenea na haya mambo watu wanaanza kuyaelewa na kuyajua, Alhamdulillah. Bali kwa watu wa Sunnah haya mambo yanafahamika.Ingia msikitini na viatu kama hawajakukata kichwa wenzako
Sheria za dini ni kwaajili ya watu masikini
Makafiri wakati unatumia 99.9% ya bidhaa na vitu vya makafiri.
Hapo ndani kwako ukisema usitumie vitu au bidhaa za makafiri utabakiwa
1. Kanzu
2. Kibagharashia
3. Quran
4. Tende
5. Maji ya zamzam
6. Mkojo wa ngamia
7. Kuwaita watu makafiri
8. Elimu ya madrasa ambayo ni upunguani
Jaribu uone ndiyo utajua uislamu ni dini ya ovyo na watu wake wana uwezo mdogo wa kufikiria na hawana uwezo wa kutengeneza vitu.
Allah alishindwa kumfundisha Mohamad kujua kusoma na kuandika, ataweza kusikia lugha zingine zaidi ya bwana wako muarabu
Kwani huko Al kaaba kuna nini cha maana asivae viatu?
wanasema inaruhusiwaNabii Musa ( mweusi) aliambiwa na mola baba avue viatu mahala patakatifu alipoon moto kule kichakani sasa iweje leo mtu unaingia na viatu hii si sahihi cdhani ata kama mtume muhammad aliwah kuswali na viatu😎😎🚮
Kwahiyo ni Kama kusema mfalme viatu vyake haiwezi kuwa vichafu. Au inasemqasemwa hivi kwakua aliyefanya ni mwenye asili uyya utamaduni wakeInaruhusiwa kuswali na viatu vikiwa visafi.
Unamuona imam anavyomtizama kwa mshangao?kama unaijua lugha ya picha ona jamaa alivyomkata jicho.Picha si hiyo ya Mfalme au kuna shida?
Makafiri bhana!
Ila Alhamdulillah, kuna watu wanajifunza (ikiwemo Waislam ambao hawajui hili) na huenda kuna watu wasio Waislam wataongoka na kuingia katika Dini ya Uislam kwa sababu ya nyuzi kama hizi zenu, mnaminyana kuupiga vita Uislam halafu katika hizo hizo vita zenu kuna watu huenda wakaingia katika Uislam kwa Idhini ya Allah. Namuomba Allah akuongoze na wewe na mtos uzi katika Uislam na mfe juu ya Uislam
View attachment 3361619
Japo yanatosha maneno ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Ila nimekuletea na picha kabisa kukuonesha kuwa Sunnah hii iliyosahaulika inatekelezwa bado na watu wanaihuisha Sunnah hii.
Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah.
Wewe huko ndani utakuwa umefuata nini mpaka uwaone?Viatu vinaruhusiwa mradi viwe visafi.Na kuna kuna viatu maalum vya kusalia ukipenda kuvitumia.Kama hujui jambo uliza uelimishweunajieleza sana, tunajua kabisa misikiti yetu apa wote wanavua viatu, sjawahi kuona mtu kaingia ndan na viatu toka nmezaliwa hii mada ni kwel nmechukua twitter ndo maaana title inasema "kuna mada inaendelea inahusiana na kuvaa viatu"....
Ruhusa gani izo haiwezekan bwana 😱wanasema inaruhusiwa
Kwahiyo ni Kama kusema mfalme viatu vyake haiwezi kuwa vichafu. Au inasemqasemwa hivi kwakua aliyefanya ni mwenye asili uyya utamaduni wake
Unamuona imam anavyomtizama kwa mshangao?kama unaijua lugha ya picha ona jamaa alivyomkata jicho.View attachment 3361788
Dizain anamsubiri amalize anachokifanya then aende akamuulize kama anajitambua au ni mamluki?
Kwaiyo nyie mnavaa viatu vichafu ?Hakuna huu mjadala, labda kwenu wagalatia. Hivyo acha uongo. Hii hujaitoa kule X kwa yule chizi aliyewahi kulia lia kwa sababu ya mwanamke kweli?
Unaweza kuswali na viatu maadamu ni visafi.
Ni Sunnah.
"Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “Nilimuuliza Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu): Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio” (al-Bukhaariy na Muslim)."