Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Mweee!! hizo dawa anachumia matako yako?? mtu ashinde porini kutwa kucha wawe uje uchukue dawa kiubwete tu?? pimbaf!? kaa ivoivo hutake nipe changu!! upate chako hutaki usinisumbue mie kaa ivoivo!!!

inawezekana ulisharogwa, na kupigwa laana kitambooo!! na lishangazi lako lile rirefuuu, sasa unataka kuturoga na sisi!! watu mnamikosi ya kudumu mnataka kufa na waganga acheni izo!
Already relaxed sir. Anything else
 
Jamaa yako kakosa uvumili na tamaa, pia hana shukurani wangapi wanasota mtaani na wanatamani kuingia jeshini na nafasi hawapati ukiachilia mbali tu kupata cheo. Ukishaanza mambo ya ushirikina huwaga hayaishii hapo na kadri unavyotaka vikubwa zaidi na gharama/kafara zake ndo zinazidi kuwa kubwa.
Mbona hii ni same hata kwenye dini za kuletewe..lazima usali sana..ushike sheria sana...utoe sadaka na zaka sana...ili ubarikiwe.

So hakuna jipya tofauti ni sehemu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amekataa usiamini Ndugu?. Amini unachokiamini hakuna anayekufosi uamini au usiamini the choice is yours.

Ila cha muhimu ni wewe kufikishiwa kweli ufwate usifwate it's none of no one bussiness. Jukumu kubwa ni wewe kufikishiwa hiyo kwelii

# ukiwa Gizani umezungukwa na giza kuona nuru ni tabu sana

# ipo kweli itakayokuweka huru
# kabla hujamshangaa mwingine jishangae wewe mwenyewe kwanza kwakua bado uko gizani
Mbona wewe unaamini kwamba wanaoamini mengine wako gizani..wewe unauhakika upo kwenye nuru..tusichoshane bhna..kaa na imani yako hakuna mtu aliyeomba umletee dini yako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo na Mungu pia yupo. Mkuu una jichimbia kaburi tu mwenyewe kwenda kwa hawa watu

anyway wanachokifanya hawa waganga ni hivi, let say una tatizo la kikaz umeenda kutoa hela tatizo linaisha kwa muda tu na anacheza na mindset yako baada ya mda vitu vinarudi pale pale. Na worst zaidi anacheza na sehem nyingine ya maisha yako au anakupa balaa lingine ili usiache kwenda
Wewe ni kwenda kwake na kuendelee kutoa hela until uwe broke kabsaa
Vyema..ukaanzisha uzi wako sio kuingilia nyuzi za watu.

Ukafundishe mambo ya imani yako huko.

Hua nashangaa sana watu kama wewe

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,lkn tunapomuomba MUNGU kutusaidia ktk jambo fulani huwa tunaruhusu pia Mapenzi yake kutimizwa, Sasa yanapotokea hayo haina maana kuwa MUNGU hakuweza kutunusuru au hatupendi,bali wakati mwingine huruhusu hayo kwaajili ya Sifa na Utukufu wake.
Aisee Mungu anafanya ukatili ili apate sifa! Stori za vitabuni aisee zinachekesha sana muda mwingine.
 
Aisee Mungu anafanya ukatili ili apate sifa! Stori za vitabuni aisee zinachekesha sana muda mwingine.
Shauri yako, MUNGU anakusikia,na kuna siku atakuuliza.Kama kweli MUNGU wetu angekuwa katili kadiri ya maneno yako mimi na wewe tusingekuwepo hadi sasa hivi tukiwa tunachati; MUNGU wetu ni mwenye huruma na upendo mwingi ndio maana anatusamehe pamoja na kwamba tunamkosea sana na mara nyingi.
 
Back
Top Bottom