Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Sasa kwa nini ana ruhusu kuombwa ikiwa anajua hawezi timiza. Unaaminisha ata mabaya pia Mungu anayapa kibali?
Wewe unataka utimiziwe kwa namna gani? Mungu afanyi kazi kwa namna ya unavyotaka wewe huna mamlaka nae. Iwe unaona kwako wewe ni mabaya au mazuri yote mungu ameshayakadiria.
 
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.

Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?

Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.

Asante
Mkuu uchawi upo ,,
Usimalize maneno..

Hapo ulipo kama sio kurogwa na wachawi pengine ungekuwa waziri fulani wa Tanzania..

Kuna watu wamerogwa na hawajijuwi.
 
Kuna jamaa yetu ni ustadhi kasota sana kitaa,kila mishe anayogusa haitiki.
Lastly akaamua kuingia jeshini,nako akawa anaona wenzake alioingia nao wanampita tu vyeo ilihali nae alikuwa na degree tena ya uhandisi wa mawasiliano, akaona isiwe tabu, akazama zake hapo Bagamoyo sijui kwa mtaalamu gani,hajakaa hata mwezi zikaja nafasi za cadet nae jina lake limo.saivi tunavyozungumza ni captain wa jeshi na keshaenda mission mbili nje ya nchi.kwa kifupi maisha super kwa sasa.
Jamaa yako kakosa uvumili na tamaa, pia hana shukurani wangapi wanasota mtaani na wanatamani kuingia jeshini na nafasi hawapati ukiachilia mbali tu kupata cheo. Ukishaanza mambo ya ushirikina huwaga hayaishii hapo na kadri unavyotaka vikubwa zaidi na gharama/kafara zake ndo zinazidi kuwa kubwa.
 
Mkuu uchawi upo ,,
Usimalize maneno..

Hapo ulipo kama sio kurogwa na wachawi pengine ungekuwa waziri fulani wa Tanzania..

Kuna watu wamerogwa na hawajijuwi.
Juzi kati tena kuna jamaa yetu yuko tra akawa anatusimulia mkasa wake,anasema alipigwa zengwe kazini kwao,na huo msala ilikua atemeshwe kazi kabisa,anasema akazama huko chalinze ndani ndani sijui kuna boda boda gani alimpeleka huko,akakutana hadi na mawaziri huko wameenda kuroga ili Hangaya asiwatumbue kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya hivi karibuni.
Jamaa wa tra anasema issue yake imezimwa tayari na anaendelea na kazi kama kawaida.
Haya mambo yapo
 
Wanasiasa wanaloga, wanaiba kura, wanahonga wanafitinisha kiasi kwamba wakipata Madaraka hawajui kipi kimewasaidia either Uchawi, wizi wa kura au zile Fitna
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.

Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?

Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.

Asante
 
Mbona kuna watu wanaomba Mungu kabla ya safari na wanapata ajari na wengine kufa. Maombi yao yali

Hata wabudha..wahindi..waarabu..wayahudi..wakristo..na waasili..Ndio huyo huyo...so acha watu waamini wanachoamini..

Hua nashangaa sana watu kama wewe.

#MaendeleoHayanaChama
Nani amekataa usiamini Ndugu?. Amini unachokiamini hakuna anayekufosi uamini au usiamini the choice is yours.

Ila cha muhimu ni wewe kufikishiwa kweli ufwate usifwate it's none of no one bussiness. Jukumu kubwa ni wewe kufikishiwa hiyo kwelii

# ukiwa Gizani umezungukwa na giza kuona nuru ni tabu sana

# ipo kweli itakayokuweka huru
# kabla hujamshangaa mwingine jishangae wewe mwenyewe kwanza kwakua bado uko gizani
 
Juzi kati tena kuna jamaa yetu yuko tra akawa anatusimulia mkasa wake,anasema alipigwa zengwe kazini kwao,na huo msala ilikua atemeshwe kazi kabisa,anasema akazama huko chalinze ndani ndani sijui kuna boda boda gani alimpeleka huko,akakutana hadi na mawaziri huko wameenda kuroga ili Hangaya asiwatumbue kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya hivi karibuni.
Jamaa wa tra anasema issue yake imezimwa tayari na anaendelea na kazi kama kawaida.
Haya mambo yapo
Uchawi upo Sana mkuu.
Hata mahusiano yetu pengine bila ndumba tusingekuwa na hawa tulio nao Leo hii,, Ila hatujijuwi.

Wapo wanawake/wanaume ambao wanapiga nyanga balaa ili wapendwe na wapendwa wao.

Mtu asiyejuwa atasema uchawi haupo kwenye mapenzi./kazi/biashara. Nk.
 
Juzi kati tena kuna jamaa yetu yuko tra akawa anatusimulia mkasa wake,anasema alipigwa zengwe kazini kwao,na huo msala ilikua atemeshwe kazi kabisa,anasema akazama huko chalinze ndani ndani sijui kuna boda boda gani alimpeleka huko,akakutana hadi na mawaziri huko wameenda kuroga ili Hangaya asiwatumbue kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya hivi karibuni.
Jamaa wa tra anasema issue yake imezimwa tayari na anaendelea na kazi kama kawaida.
Haya mambo yapo
Yapo na Mungu pia yupo. Mkuu una jichimbia kaburi tu mwenyewe kwenda kwa hawa watu

anyway wanachokifanya hawa waganga ni hivi, let say una tatizo la kikaz umeenda kutoa hela tatizo linaisha kwa muda tu na anacheza na mindset yako baada ya mda vitu vinarudi pale pale. Na worst zaidi anacheza na sehem nyingine ya maisha yako au anakupa balaa lingine ili usiache kwenda
Wewe ni kwenda kwake na kuendelee kutoa hela until uwe broke kabsaa
 
Njoo Simiyu huku,uje na nywele za Albino kilo 10 tu,Mkuu..Ni kupeleke kwa mtaalamu.
Simiyu napitia wapi lamadi ama.
Sema hapo kwa nywele sio kabisa.
Najua wapo Ila wafanyabiashara wapo pia.
Kuna muda nimeshatembea Sana Ila nikaona na wao huwa ni njaa tu.yaani haya Mambo ya kiafrika sijui Kama yapo.
Ila Kama yapo jpm asingeuwa bana.anapuliziwa hela na mlizni wake baada ya kupewa billions kadhaa baadaye naye anamalzwa.sema akawahi kutangazwa.
So angepewa muongozo huo na hao jamaa.
 
Ngoja nakuja mkuu. Ila sitaki yule anayeomba hela. Malipo ni baada ya kufanikiwa.
Pia kumbuka ili iyo ifanye kazi ni Imani yako tu. Twaweza pewa wote Ila isifanye kazi kwako kwangu ikafanya
Mweee!! hizo dawa anachumia matako yako?? mtu ashinde porini kutwa kucha wawe uje uchukue dawa kiubwete tu?? pimbaf!? kaa ivoivo hutake nipe changu!! upate chako hutaki usinisumbue mie kaa ivoivo!!!

inawezekana ulisharogwa, na kupigwa laana kitambooo!! na lishangazi lako lile rirefuuu, sasa unataka kuturoga na sisi!! watu mnamikosi ya kudumu mnataka kufa na waganga acheni izo!
 
apo na Mungu pia yupo. Mkuu una jichimbia kaburi tu mwenyewe kwenda kwa hawa watu
Nyie ndo Michawi haswaa tunawajua kwa mienendo yenu!!! mnawaroga sasa!! sasa mnajifanya eti hamjui!! ukisha mtaja Mungu tu!! baaasi sikia Paulo mwenyewe pamoja na kuwa na Mungu tit for tat!! Alirogwa mchana kweupeeeeee!!!

na lile chawi gwiji Ba-yesu!!.........Enyi wagalatia ni nani aliye warogaaaa??....... Musa alirogwa na wachawi wa Misri pamoja na kuongea na Mungu hivi!!!! weye ni nani usirogwe?? wacha unafiki wa kishamba ewe mchawi wa karne tunawajua!!!!......
 
Mweee!! hizo dawa anachumia matako yako?? mtu ashinde porini kutwa kucha wawe uje uchukue dawa kiubwete tu?? pimbaf!? kaa ivoivo hutake nipe changu!! upate chako hutaki usinisumbue mie kaa ivoivo!!!

inawezekana ulisharogwa, na kupigwa laana kitambooo!! na lishangazi lako lile rirefuuu, sasa unataka kuturoga na sisi!! watu mnamikosi ya kudumu mnataka kufa na waganga acheni izo!
Mbona umetoa povu ivyo mkuu. Nadhani Sasa your mind has relaxed a bit.
Kumbuka huwa ni huduma na sio biashara. Utadhani ni wewe mwenyewe. Wala sinayo laana Niko poa nashukuru Allah naipata Milo mitatu na silipi bili nyingi Sana.
Sema hao jamaa zako huwa ni wasanii
 
Yaani watu ambao wanaotumia imani za kishirikina kwa ajili ya kupata kazi hata kupanda cheo watatumia waganga wa jadi na ndio wanaoturoga kazini pia hawa
 
Mbona umetoa povu ivyo mkuu. Nadhani Sasa your mind has relaxed a bit.
Kumbuka huwa ni huduma na sio biashara. Utadhani ni wewe mwenyewe. Wala sinayo laana Niko poa nashukuru Allah naipata Milo mitatu na silipi bili nyingi Sana.
Sema hao jamaa zako huwa ni wasanii
Mkuu wew relux tu!! milo mitatu ni hand to mouth siyo maisha hayo!!! huduma za kiafya lazima ije kwa gharama sababu ipo kwa gharamaaa!! lipa!! km unavo sema ni wasaniii ni sawa sikatai!!
chakufanya mbona rahisi tu!!.... achana nao!! ukarogwe vizuri ukome!!

Akili ikikukaa sawa ndo utajua uongo wa Mganga ndo nafuu ya mgonjwa wako!!!...wachawi wana akili sana kuliko unavodhania...km nyota lako ni mfu walipeleke wapi???!! hawaitaki!!. hata uombe kurogwa hawataki!!..wanataka wale wenye nyota za mafanikio tu!!

unaweza usiwe na laana lkn huna nyota ya mafanikio kuna watu wana nyota za kutumwa tumwa tuuu maisha yao yoote!...kuwa wakulima wa jembe la mkono tu mpka wanakufa ivoivo!
 
Mkuu uchawi upo ,,
Usimalize maneno..

Hapo ulipo kama sio kurogwa na wachawi pengine ungekuwa waziri fulani wa Tanzania..

Kuna watu wamerogwa na hawajijuwi.
Ebanaee hapo umepatia! Iko hivi mtu akilogwa hajijui kabisa..mpaka mtu àje akustue kwamba hapa kuna walakini
 
Mkuu wew relux tu!! milo mitatu ni hand to mouth siyo maisha hayo!!! huduma za kiafya lazima ije kwa gharama sababu ipo kwa gharamaaa!! lipa!! km unavo sema ni wasaniii ni sawa sikatai!!
chakufanya mbona rahisi tu!!.... achana nao!! ukarogwe vizuri ukome!!

Akili ikikukaa sawa ndo utajua uongo wa Mganga ndo nafuu ya mgonjwa wako!!!...wachawi wana akili sana kuliko unavodhania...km nyota lako ni mfu walipeleke wapi???!! hawaitaki!!. hata uombe kurogwa hawataki!!..wanataka wale wenye nyota za mafanikio tu!!

unaweza usiwe na laana lkn huna nyota ya mafanikio kuna watu wana nyota za kutumwa tumwa tuuu maisha yao yoote!...kuwa wakulima wa jembe la mkono tu mpka wanakufa ivoivo!
Mtu anajuaje ana nyota ya mafanikio au ya msoto?
 
Wewe mlokole..nenda kaanzishe uzi wako..uite waumini ndio uanze kuwahubiria ukisanye na sadaka huko..huu uzi sio wako.

Unlesaa kama uko na uzoefu wa kushare nasi kuhusiana na waganga wa kienyeji..mana walokole wengi mmejificha kwenye ulokole kumbe kwa waganga mnatimba kama kawa.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna jamaa anaitwa Tajiri Kichwa,ndo Nilikuwa namjibu na sio kwamba ninakuhubiria.
 
Back
Top Bottom