Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Already relaxed sir. Anything else
 
Mbona hii ni same hata kwenye dini za kuletewe..lazima usali sana..ushike sheria sana...utoe sadaka na zaka sana...ili ubarikiwe.

So hakuna jipya tofauti ni sehemu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wewe unaamini kwamba wanaoamini mengine wako gizani..wewe unauhakika upo kwenye nuru..tusichoshane bhna..kaa na imani yako hakuna mtu aliyeomba umletee dini yako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyema..ukaanzisha uzi wako sio kuingilia nyuzi za watu.

Ukafundishe mambo ya imani yako huko.

Hua nashangaa sana watu kama wewe

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,lkn tunapomuomba MUNGU kutusaidia ktk jambo fulani huwa tunaruhusu pia Mapenzi yake kutimizwa, Sasa yanapotokea hayo haina maana kuwa MUNGU hakuweza kutunusuru au hatupendi,bali wakati mwingine huruhusu hayo kwaajili ya Sifa na Utukufu wake.
Aisee Mungu anafanya ukatili ili apate sifa! Stori za vitabuni aisee zinachekesha sana muda mwingine.
 
Aisee Mungu anafanya ukatili ili apate sifa! Stori za vitabuni aisee zinachekesha sana muda mwingine.
Shauri yako, MUNGU anakusikia,na kuna siku atakuuliza.Kama kweli MUNGU wetu angekuwa katili kadiri ya maneno yako mimi na wewe tusingekuwepo hadi sasa hivi tukiwa tunachati; MUNGU wetu ni mwenye huruma na upendo mwingi ndio maana anatusamehe pamoja na kwamba tunamkosea sana na mara nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…