GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dah mkuu mfano mkurugenzi wa kampuni Fulani amekufa nafasi itaachwa wazi?
 
Kwanza pole kwa maumivu makali ya kisaikolojia unayopatiwa na ccm.

Iko hivi, hao wote kushindwa kwao hakutoizidi ile aibu anayoipata yule 'aliyeolewa' ubelgiji na Sasa akiwa korokoroni. 'Waume' wake huko ulaya wanataka 'unyumba' lakini Huku kalikoroga hapatikani....sijui atafanya nn akitoka wasimuone tapeli!!!
 
Tofauti na hao inaowasema. Maza hajawahi kuomba openly kuhombea nafasi hiyo. Nafasi ya Urais huwezi kupewa kwa kupendekezwa tu.
 
Tofauti na hao inaowasema. Maza hajawahi kuomba openly kuhombea nafasi hiyo. Nafasi ya Urais huwezi kupewa kwa kupendekezwa tu.
Baada ya kifo cha JPM nchi haingeweza kukaa na ombwe ilibidi nafasi izibwe akaapishwa Samia aliyekuwa tayari anao uzoefu wa shughuli zilizokuwa zinaendelea kwenye maeneo mengi ya utawala.
 
Baada ya kifo cha JPM nchi haingeweza kukaa na ombwe ilibidi nafasi izibwe akaapishwa Samia aliyekuwa tayari anao uzoefu wa shughuli zilizokuwa zinaendelea kwenye maeneo mengi ya utawala.

Hiyo ni sawa na haina ubishi. Term inakwisha kwa nini asiombe rasmi...!!?
 
Rais ni tofauti na mkurugenzi yoyote yule. Ni mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu.

Urais kwa ufupi haufanyiwi majaribio.
Yeye kakaimishwa tu haijalishi nafasi Wala mamlaka aliyonayo wewe ulimchagua magu na ukakubali huyu awe msaidizi wake likitokea la kutokea yeye ndio akaimu nafasi Kwa kipindi Fulani kabla ya uchaguzi huo ndio ukweli na ndio katiba yetu ilivyo
 
Baada ya kifo cha JPM nchi haingeweza kukaa na ombwe ilibidi nafasi izibwe akaapishwa Samia aliyekuwa tayari anao uzoefu wa shughuli zilizokuwa zinaendelea kwenye maeneo mengi ya utawala.
Kakaa kama kiraka cha dharura kwenye kiti cha mamlaka ya nchi lakini mwenendo wake usiojali madhila wanayopitia wananchi hauwezi kupewa nafsi nyingine, akilazimisha pamoja na bosi wake bssi hesabu zifanye kazi
2<63
 
Madhila tumeanza kukutana nayo tangu awamu ya kwanza tulipokula ugali wa yanga na kupanga foleni za maduka ya kaya. Hakuna kipya kwenye suala la madhila.

Samia 2025 mitano tena.
 
Silence surrenders public responsibilities
 
Madhila tumeanza kukutana nayo tangu awamu ya kwanza tulipokula ugali wa yanga na kupanga foleni za maduka ya kaya. Hakuna kipya kwenye suala la madhila.

Samia 2025 mitano tena.
Enzi za ugali wa yanga, bulka nk kwa kufanya kazi za kijamii ndipo unapimiwa bakuli kwa ajili ya familia ya watu saba ama kuvaa makata mbuga (ndala za tairi) na kwenda kununua bidhaa RTC (maduka ya biashara ya mkoa) yaliendana na mfumo wa chama kimoja, sera ya ujamaa na kujitegemea kabla mabadiliko mfumo ya ubepari aliyoleta Mwinyi na Mkapa.

Aliyepo ka sasa hapana wananchi wanasema 'basi'
 
Hivi mkuu nikuulize tu, ikiwa tupo kwenye basi linaloelekea Arusha ghafla basi likapata hitilafu na kuthibitika halitoweza kuendelea na safari lakini ukafanyika utaratibu wa kampuni husika kuletwa basi lingine ili kuendelea na safari.

Je dereva itamlazimu arudi na kuanza upya safari kwa ruti nyingine ama ataanzia pale lilipoharibikia basi na kuendelea na safari ya Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…