Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Hawawezi kusema basi kwa aina ya maendeleo yanayokuja, watakuwa ni wajinga hao wananchi wanaosema basi kwa sababu ya chuki za kipuuzi za uzanzibari wake na udini unaotangulizwa mbele.Enzi za ugali wa yanga, bulka nk kwa kufanya kazi za kijamii ndipo unapimiwa bakuli kwa ajili ya familia ya watu saba ama kuvaa makata mbuga (ndala za tairi) na kwenda kununua bidhaa RTC (maduka ya biashara ya mkoa) yaliendana na mfumo wa chama kimoja, sera ya ujamaa na kujitegemea kabla mabadiliko mfumo ya ubepari aliyoleta Mwinyi na Mkapa.
Aliyepo ka sasa hapana wananchi wanasema 'basi'
Hakuna awamu iliyo anza 2021 mkuu. Tume iliitisha uchaguzi..?Awamu ya Samia ilianza tarehe 19 March 2021 siku alipoapishwa ndani ya ikulu, awamu ya tano ilimalizika sio kwa mapenzi yetu sisi wananchi bali kwa mapenzi ya Mungu alipoamua kumchukua hayati JPM
Mkuu huyo ni chawa haelewi anashupaza shingo tu mambo yaliyo waziHivi mkuu nikuulize tu, ikiwa tupo kwenye basi linaloelekea Arusha ghafla basi likapata hitilafu na kuthibitika halitoweza kuendelea na safari lakini ukafanyika utaratibu wa kampuni husika kuletwa basi lingine ili kuendelea na safari.
Je dereva itamlazimu arudi na kuanza upya safari kwa ruti nyingine ama ataanzia pale lilipoharibikia basi na kuendelea na safari ya Arusha?
Uwezo wa kuteka kuua na kuuza rasilimali zetu. Ile tv tu remote control yule boss wake aliye mtambulisha. Hana uwezo zaidi ya tamaa na udhaifu wa chama na taifa kwa ujumlaSamia anao uwezo mkubwa wa kiuongozi kuliko aliokuwa nao marehemu JPM, ni vile tu jinsia yake dhaifu inamnyima kukubalika.
Alikujibu mkuuParagraph ya 1 ,ndo utaratibu
Sa Kwann paragraph ya mwisho hutaki huo utaratibu ufuatwe?
No way ,mi sio ccm lkn hapana
Uzi bado hii n intro nadhani leo umeona nyuzi kama.mvuaUzi tayari au bado?
Useless sperm..? A u fucked up. Ukiwa mpumbavu jutajidi ufiche upumbavu wako. Amepitishwa na mhuni/dalali mkubwa wa nchi yetuYou useless sperm Samia ameshapitishwa na chama chake kuwa mgombea wao kwa kupigiwa kura na mkutano mkuu na kupata kura 99.8%, sasa takataka km ww ni nani. Tuliza makalio kutuletea huu uharo. Nenda kaharishe huu uvundo. We kibwengo tu.
Ataanza kuokota mamako na ww hapo maana mshachanganyikiwa mpaka wanasiasa wanasema kachanganyikiwa. Pole. Huna hona unakuja na dua zako za kichawi kutoka urojoni. Fuvk uKabla ya mwaka huu kuisha utakuwa umeshaanza kuokota makopo
Afu unataka baba akuoe..? ******** unaanza kutukania wazazi wangu. ****** wako huo umeoza hembu sogeza mavi yako hapa hatununui/hatutumii mitaro sisi wastaarabu. Nenda zenz mkafi###e **** zakoMamako kabla ya huu mwaka kuisha atakuwa ameachika
Sawa shoga la zenj usielewa lolite zaidi ya mipasho na kukamuliwa nyaaWe ni sawa na ngiri pori tu, hujui ht maana ya mgombea mwenza
Kuna mtu anajiona kamusi ya nchi kumbe anatuuza1
2
3
9
KIKWETE mtupuu
Hao ukiwa ukiza kidgo tu wanatema matusi kama mama yao. Sasa hawa ndio wajibishane na wenye maarifa. Hawa ni magarasa na mama yao uwezo kidgoMachawa wa Samia ni vilaza sana, kaswali kadoga kanakutoa jasho. Basi hapo utakuta umechukua form ya kugombea ubunge ukitegemea uchawa utakubeba. PUMBAFU
Uwezo pale hakuna yule ni hasara kwa hii kayaHebu tuondoleee ujinga wako, mtu wako Wananchi hawamtaki kwanza hajishushi kwao pili anaendeshwa kama roboti na mto Ruvu, tatu kaumiza sana watu halafu hajali chochote kana kwamba Tanzania ni mali ya ccm na ukoo wa mwambao wa Pwani. This time, the interior fire by the folks is very fierce and difficult to withstand the heat.
Vyombo vya ulinzi visimamie na hiliMkuu Kila kitu tayari kilishapangwa ndio maana alivyokufa Magufuli Kuna wahuni walitaka kutumia mwanya kufanya uhuni ila wakulu wa vyombo vya ulinzi walisimamia katiba, lakini yeye Samia anataka kupindisha katiba Kwa nini?
Mkuu huyo ni mweupe kichwani zaidi ni machawa wa mepewa kodi zetu waje kivuruga mijafala makini. So unawazoea tu na huwa hawapendi kuambiwa ukweli wala hoja hawazitakiKwa matusi haya, ni dhahiri unalazimisha hoja.
Jambo la muhimu hapa ni kwamba Ukweli ni kama pembe la ng'ombe....Haufichiki.
Tuupe muda nafasi yake, utaongea!
Sema hawa watu na majini ni mwili na damu. Mkuu wa kaya kama shumileta
Kumsemea mwanaume mwenzako ni dalili za wewe kupumuliwa mada haina hata ukaribu na Lissu ila una muingiza ili ujijengeee tu upumbavu wako. Huwezi mfananisha lissu na hii takatakayenu. Yaani LISSU na hiii TV inayo tumia msoga remote.Kwanza pole kwa maumivu makali ya kisaikolojia unayopatiwa na ccm.
Iko hivi, hao wote kushindwa kwao hakutoizidi ile aibu anayoipata yule 'aliyeolewa' ubelgiji na Sasa akiwa korokoroni. 'Waume' wake huko ulaya wanataka 'unyumba' lakini Huku kalikoroga hapatikani....sijui atafanya nn akitoka wasimuone tapeli!!!
🤣🤣 AnachekeshaAlikujibu mkuu
Kashalipwa buku saba zake na hawa wengi wazanzibar wametumwa kuja kijibu kila kitu wanakimbilia kutukana ili upanic uache kuweka upuuzi wao wazi🤣🤣 Anachekesha
Ujinga walio kuwa madarakani Sasa hivi hawapoVyombo vya ulinzi visimamie na hili