Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

kuna raia wa nchi fulani ya africa aliniambia.
"tanzania ni nchi ambayo kila mtu anajua siasa na nchi hii jinsi inaenda"
"yaani kila mtu anajua siasa na kukosoa tofauti na nchi yao"
"kule kwao huwezi kukuta watu wakiongelea ishu za siasa au wanasiasa zaid ya kchakarika na maisha".
tanzania nenda popote utakuta stori vijiwe vyote wanajua mambo mengi sana kuhusu kinachoendelea lakini ni midomo tuu.
mwendazake alisema kuna watu hata ukiogelea watasema unatimua vumbi
 
Kwamba Magu alikua analindwa na manati tu na upinde akuenda Chatel?
Wakati wake si ndio mgari wenye mi antenna kama pweza ulitamalaki kwenye misafara kila alipoenda akiwa na Convoy moja ina vijana wako kwa nyuma na mashine nzito nzito?

Suala la ulinzi haamui yeye, kuna kitengo ndio kazi yao na wanaongeza au kuimarisha ulinzi kutokana na mazingira.

Kama maadui wapo, na wanataka kutekeleza uhalifu, watafanya hivyo popote. Ulinzi muhimu.
Ah! Yule jamaa alikua anakaa hadi kwenye vijiwe vya kahawa na shoe shine akiwa kwao.
 
Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Labda wanyonge wanaoshindwa kununua kipande cha sabuni cha 500, wanaoshindwa kuendelea na ujenzi baada ya vifaa vya ujenzi kupsnda bei mara dufu bila kuwasahau wachoma vitumbua, chipsi na maandazi wanalia bei ya mafuta ya kupikia kupanda bei
 
Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Umesahau Mara moja hii jamaa langu kwamba wakati wa uchaguzi watu waliuawa na wengine kuteswa kule Pemba.
Umesahau kipindi Cha uchaguzi jeshi lilihamia Zanzibar?
Aisee una memory ndogo sana.
 
Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Kushirikiana na 'Mswahili' aliyetusababishia 'Ajali' mbaya ya tarehe 17 Machi, 2021 Kwako Wewe ni sawa Mkuu?
 
Nahisi vichaa wanaongezeka miongoni mwa Watanzania, huwezi kuhoji ulinzi wa kiongozi mkubwa wa nchi hasa Rais.Wakati mwingine tuvalishe kondomu midomo yetu hata kama ni govi
 
Mtu ameamua awe na ulizi mkubwa wewe vipi? wewe tulia ukitaka kuwa na ulinzi mkubwa na wewe
Nilidhani yale Matambiko ya Kanda ya Ziwa ( kwa akina Baghosha ) na yale Majoho yao ya Ngozi za Ng'ombe na Fisi yangetosha Kumlinda kama Nyota ing'aayo.
 
Mbona yule aliyekuwa akijifanya mungu mtu naye alikuwa hivyo hivyo hata akiwa Chatu,sasa cha ajabu nini!
 
Back
Top Bottom