Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah! Yule jamaa alikua anakaa hadi kwenye vijiwe vya kahawa na shoe shine akiwa kwao.Kwamba Magu alikua analindwa na manati tu na upinde akuenda Chatel?
Wakati wake si ndio mgari wenye mi antenna kama pweza ulitamalaki kwenye misafara kila alipoenda akiwa na Convoy moja ina vijana wako kwa nyuma na mashine nzito nzito?
Suala la ulinzi haamui yeye, kuna kitengo ndio kazi yao na wanaongeza au kuimarisha ulinzi kutokana na mazingira.
Kama maadui wapo, na wanataka kutekeleza uhalifu, watafanya hivyo popote. Ulinzi muhimu.
afadhari umeamua kua mkweliRais sio kapuku kama wewe, au babako mzee. Ni bora kutumia gharama hizo kumlinda kuliko gharama za kumpoteza.
WEWE NI POPOMA.
Labda wanyonge wanaoshindwa kununua kipande cha sabuni cha 500, wanaoshindwa kuendelea na ujenzi baada ya vifaa vya ujenzi kupsnda bei mara dufu bila kuwasahau wachoma vitumbua, chipsi na maandazi wanalia bei ya mafuta ya kupikia kupanda beiSasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Mbona Mwendazake tumempotezea kwenye ZAHANATI?Rais sio kapuku kama wewe, au babako mzee. Ni bora kutumia gharama hizo kumlinda kuliko gharama za kumpoteza.
WEWE NI POPOMA.
Mama sio MpembaAh! Yule jamaa alikua anakaa hadi kwenye vijiwe vya kahawa na shoe shine akiwa kwao.
Umesahau Mara moja hii jamaa langu kwamba wakati wa uchaguzi watu waliuawa na wengine kuteswa kule Pemba.Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Ngoja aje na makombora yake, halafu asindikizwe na banWatkusingizia uchawi wakati Genta wa watu umeongea ukweli
Hata Nyumbani Kwenu kabisa Mkuu au?Ukitengeneza maadui wengi Kila unapokwenda unahisi unatafutwa.
Katika huu Uzi wangu nimemtaja Rais?Rais sio kapuku kama wewe, au babako mzee. Ni bora kutumia gharama hizo kumlinda kuliko gharama za kumpoteza.
WEWE NI POPOMA.
Kuna mahala nimemtaja Bi Mkubwa wako?Jamaa yangu umekua na hasira sana na bi mkubwa yamekukuta yapi? Mambo hayaendi?
Kushirikiana na 'Mswahili' aliyetusababishia 'Ajali' mbaya ya tarehe 17 Machi, 2021 Kwako Wewe ni sawa Mkuu?Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...
Nilidhani yale Matambiko ya Kanda ya Ziwa ( kwa akina Baghosha ) na yale Majoho yao ya Ngozi za Ng'ombe na Fisi yangetosha Kumlinda kama Nyota ing'aayo.Mtu ameamua awe na ulizi mkubwa wewe vipi? wewe tulia ukitaka kuwa na ulinzi mkubwa na wewe