Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

Kama hiyo hali hujawahi kuipitia better keep quiet bibie.......
Yaan binti wa watu unamfanyisha mikazi kutwa nzima na bado hana muda wa kutoka hapo kwako na mshahara unalipa 30,000 huu ni ukatili,ni heli ukajipange barabarani upigwe mtungo na mbwa wa kizungu upate dola mbili sawa,chukua hiyo
 
Mkuu mwenzio bado anakupenda
 
Ndugu yangu hamna namna inaweza kufanya mkarudiana aisee?

Please nakuomba toka ndani ya moyo wangu kama hakuna kizuizi cha moja kwa moja mrudiane.
 
Ndio maana huwa namuelewa mtu mwenye makorokoro ya anasa ambayo yanauzika.

Kama una hela ya iphone au samsung kubwa nunua huwezi jua keshokutwa itaamkaje. Kama una hela ya laptop nunua huwezi jua kkutwa utaamkaje.
Kama una hela ya kununua licheni au hereni za dhahabu au silva gram kadhaa wewe nunua.

Maisha yaliyo ya wengi hasa sisi watanzania wa kuupiga mwingi hela haikai wajumbe, yaani hata ukaze fuvu namna gani unashangaa graph kule bank ina drop tu, mara paaa unaskia mjomba wako kameza shoka.
 
Hahaaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…