Umenikumbusha kipindi nipo chuo kuna jamaa mmoja alikua kaoa , mke wake yupo chuo kingine huko mwanza , akatamba mke wake ni pisi kali na hakuna mtu wakuweza kumbabaisha , kwa sababu yeye ni HB na kwao mambo safi na mke wake ni mlokole, akagawa na namba kabisa .Kabisa Kuna watu wanaamini hawachapiw thubutu π wachache sana ambao hawafanyi hivo
Hiyo ndo Dunia yetu ya sahizUmenikumbusha kipindi nipo chuo kuna jamaa mmoja alikua kaoa , mke wake yupo chuo kingine huko mwanza , akatamba mke wake ni pisi kali na hakuna mtu wakuweza kumbabaisha , kwa sababu yeye ni HB na kwao mambo safi na mke wake ni mlokole, akagawa na namba kabisa .
Wahuni wakaunda tume ikachezwa game moja ya kiskofidi , akachaguliwa mnyamwezi mmoja kama masta plan , kilichotokea ilikua ni dizasta, mwamba akataka kujirusha ghorofani , akaokolewa na mwisho wa siku mpaka tunamaliza hatukuwahi kumwona tena.
Sio dunia yenu tu kipindi cha nyuma wazee walilijua hili nawalikua wanatumia busara tu, hata wakiwa warudi nyumbani wanakohoa kinafki tu ili kama kuna mtu akimbie kabla ya kukamatwa.Hiyo ndo Dunia yetu ya sahiz
Kaa chini na mkeo mwambie ukweli kuwa ajiheshimu ajitunze na achungevmagonjwa ni mengi mengine ni maamuz yake mwenyew kuamua kufanya au kuacha
Sawa mwanaume rijaliUsirudie kuni quote, sitaki mazoe na mashoga
Wakina Bill Gate, Elon musk, Pep, Jeff, Dangote wote ni hawana hela na wazembe??Sema tuu hamna hela na mnaogopa majukumu ...
Hii kataa ndoa ni kichaka cha wazembe
unaambiwa hadi Iphone zilikuwepo enzi za YesuHakuna jipyaaaaa chini ya juaaa aaaaah
Hatuna hela hela na tunaogopa majukumu. NishasemaSema tuu hamna hela na mnaogopa majukumu ...
Hii kataa ndoa ni kichaka cha wazembe
Hata sex dolls zilikuepo kitambo sanaunaambiwa hadi Iphone zilikuwepo enzi za Yesu
Kabisa sema sisi ndio wapyaYamefanyika kwa zaidi ya miaka 4000 huko. Sio mapya kabisa
zamani kabla ya kuoa ilikuwa unaulizia USHAURI kwa wazee,sasa hivi unaulizia USHAURI kwa bodaboda wa Hilo eneo analoishiKasi ya kuchapiana ni kubwa sana na siri zote wanazo bodaboda.
Ukicheat huna msamaha kwangu,Bora wewe muelewa. Kama mtu kacheat na akajisemea mwenyewe huku anatubu basi ni kweli anajuatia kitendo alichofanya. Anapaswa kusamehewa.
Labda ile anakucheat na kukudharau tena bila kujutia hapo unaweza kumpiga chini..
Sasa useme unamuacha mwanamke unayempenda uende kuchukua malaya kila siku si afadhali ubaki na hako kamalaya kako kamoja ukatulize?ππ
Wakati mwingine ni kuteleza tu bahati mbaya.