Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

Tatizo sio CCM, tatizo sio Viongozi wa CCM.

Tatizo ni Watanzania wenyewe, kama Kuna Nchi Ina Mazuzu wengi Duniani, Tanzania inaongoza.
Tatizo la mazuzu, wakibadilika ni ngumu sana kuwabadilisha tena.
Uchaguzi ujao, CCM wakianza kuua kama walivyofanya kwenye uchaguzi huu, hakika nao hawatakuwa salama.
 
Wewe ni zuzu ila bahati mbaya hujui kuwa ni zuzu!!
Kwani Mazuzu wanajificha Sasa, kama wewe hapo wakiambiwa ukweli Huwa hawakubari...!

Kenyatta alishasema zamani kabla sijazaliwa, akimwambia Nyerere anaongoza Maiti.
 
Wanaotakiwa kuamka ni VIJANA aisee hawa wengine mara nyingi ni kuwaunga mkono tu sasa Tz vijana wenyewe ndio wamelala balaa unategemea nn hapo?
 
Kwani Mazuzu wanajificha Sasa, kama wewe hapo wakiambiwa ukweli Huwa hawakubari...!

Kenyatta alishasema zamani kabla sijazaliwa, akimwambia Nyerere anaongoza Maiti.
Kwa hiyo wewe unakubaliana na Mzoga wa Kenyatta?
 
Ifike mahala mabeberu nao wafanye kweli bhana. Siyo waishie kutishia tishia tuu (japo nawashukuru mwezi March,2021 walifanya kitu cha maana kwa yule baradhuli aliyetangulia).
Hayo aliyofanya baradhuli hayafanyiki tena?? mbona mnapenda kula upepo..wewe hufahamu nani wanafanya hivyo? ccm ndio wanazuia maandamano? au ccm ndio wanasimamia uchaguzi, yule mkuu wa wilaya longido alikuwa anawaambia nini viongozi wa ccm..! acheni kujifanya wajinga wakati kila kitu kiko wazi! adui wa tanzania si ccm, ni hao wako nyuma ya ccm ambao hata ccm hawana sauti ya chama chao..juzi zitto kasema tena wazi kabisa! LGE2024 - Zitto: Vyombo vya Ulinzi vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe
 
Yule baradhuli ndio alianza huu upuuzi! Mabeberu Hoyee!
 
Mkuu amka usije ukakojoa na kujinyea kitandani. Kwa taarifa yako TZ haijawahi kuwa na uhusiano wa kweli na CIA wala M16 bali TZ iko na Mrusi na Mchina tangu tupate uhuru 1961. Be informed!
Unaongea ugoro sana wewe! Ukitaka kuijua CIA na M16 fikiria alichofanyiwa Hugo Chavez wa vene, sadam Hussein, gadaf, general Manuel Noriega wa panama! Ukishajikomba Kwa china na urusi au ukiwa against USA na western powers unachakazwa TU!
 
Yule baradhuli ndio alianza huu upuuzi! Mabeberu Hoyee!
Ni upumbavu kuendelea kulaumu aliyetengeneza sumu ikaua lakini waliobaki bado wanaitumia kuua watu..sasa ukimlaumu aliyetengeneza sumu itabadilika iwe sukari? nadhani deal na huyu anayeendelea kuitumia kuua watu..asiyekuwepo na lake halipo!
 
Muasisi wa huu Wizi wa Uchaguzi ni Magufuli yule mzee katuachia msala mkubwa sana
 
Umeandika ukiwa Nanyumbu kwenye chumba cha kupanga
 
Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T
Unatuona sisi ni mafala sana au? Nani asiyeweza kufungua hiyo code kwamba hiyo "T" unamaanisha "Tuganda" au "Tenya"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…