Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Nitashukuru sana hayo mashirika ya ujasusi duniani kama yatatusaidia kukiondoa chama cha mafisadi kwenye utawala. Hakika wananchi wa nchi T tutapumua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la mazuzu, wakibadilika ni ngumu sana kuwabadilisha tena.Tatizo sio CCM, tatizo sio Viongozi wa CCM.
Tatizo ni Watanzania wenyewe, kama Kuna Nchi Ina Mazuzu wengi Duniani, Tanzania inaongoza.
Kwani Mazuzu wanajificha Sasa, kama wewe hapo wakiambiwa ukweli Huwa hawakubari...!Wewe ni zuzu ila bahati mbaya hujui kuwa ni zuzu!!
Kwa hiyo wewe unakubaliana na Mzoga wa Kenyatta?Kwani Mazuzu wanajificha Sasa, kama wewe hapo wakiambiwa ukweli Huwa hawakubari...!
Kenyatta alishasema zamani kabla sijazaliwa, akimwambia Nyerere anaongoza Maiti.
Hawa mafisi watakiona!Mungu wabariki Wazungu
Hayo aliyofanya baradhuli hayafanyiki tena?? mbona mnapenda kula upepo..wewe hufahamu nani wanafanya hivyo? ccm ndio wanazuia maandamano? au ccm ndio wanasimamia uchaguzi, yule mkuu wa wilaya longido alikuwa anawaambia nini viongozi wa ccm..! acheni kujifanya wajinga wakati kila kitu kiko wazi! adui wa tanzania si ccm, ni hao wako nyuma ya ccm ambao hata ccm hawana sauti ya chama chao..juzi zitto kasema tena wazi kabisa! LGE2024 - Zitto: Vyombo vya Ulinzi vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyeweIfike mahala mabeberu nao wafanye kweli bhana. Siyo waishie kutishia tishia tuu (japo nawashukuru mwezi March,2021 walifanya kitu cha maana kwa yule baradhuli aliyetangulia).
Mavijana mengi ni wapuuzi sana, ni Simba na yanga TU!Wanaotakiwa kuamka ni VIJANA aisee hawa wengine mara nyingi ni kuwaunga mkono tu sasa Tz vijana wenyewe ndio wamelala balaa unategemea nn hapo?
..maiti nyingi ziko Dar! ila cha ajabu ukitaja mpira na usanii maiti zinaamka!Kwa hiyo wewe unakubaliana na Mzoga wa Kenyatta?
Yule baradhuli ndio alianza huu upuuzi! Mabeberu Hoyee!Hayo aliyofanya baradhuli hayafanyiki tena?? mbona mnapenda kula upepo..wewe hufahamu nani wanafanya hivyo? ccm ndio wanazuia maandamano? au ccm ndio wanasimamia uchaguzi, yule mkuu wa wilaya longido alikuwa anawaambia nini viongozi wa ccm..! acheni kujifanya wajinga wakati kila kitu kiko wazi! adui wa tanzania si ccm, ni hao wako nyuma ya ccm ambao hata ccm hawana sauti ya chama chao..juzi zitto kasema tena wazi kabisa!
Mpumbavu wewe . Kipi ambacho hakijulikani. Watu kama wewe uarabuni mnakula kisu tuNaona sasa mmechanganyikiwa kabisa.Na bado hiyo ilikuwa ni rasharasha tu .Mvua zenyewe ni Mwakani.
Hayo yote ni Kwa faida ya nani.Naona sasa mmechanganyikiwa kabisa.Na bado hiyo ilikuwa ni rasharasha tu .Mvua zenyewe ni Mwakani.
Unaongea ugoro sana wewe! Ukitaka kuijua CIA na M16 fikiria alichofanyiwa Hugo Chavez wa vene, sadam Hussein, gadaf, general Manuel Noriega wa panama! Ukishajikomba Kwa china na urusi au ukiwa against USA na western powers unachakazwa TU!Mkuu amka usije ukakojoa na kujinyea kitandani. Kwa taarifa yako TZ haijawahi kuwa na uhusiano wa kweli na CIA wala M16 bali TZ iko na Mrusi na Mchina tangu tupate uhuru 1961. Be informed!
Majizi makubwa nyie!Naona sasa mmechanganyikiwa kabisa.Na bado hiyo ilikuwa ni rasharasha tu .Mvua zenyewe ni Mwakani.
Huyu Luca mwoshambwa ni chawa wa hovyo sana!Mungu wabariki Wazungu
Ni upumbavu kuendelea kulaumu aliyetengeneza sumu ikaua lakini waliobaki bado wanaitumia kuua watu..sasa ukimlaumu aliyetengeneza sumu itabadilika iwe sukari? nadhani deal na huyu anayeendelea kuitumia kuua watu..asiyekuwepo na lake halipo!Yule baradhuli ndio alianza huu upuuzi! Mabeberu Hoyee!
Unatuona sisi ni mafala sana au? Nani asiyeweza kufungua hiyo code kwamba hiyo "T" unamaanisha "Tuganda" au "Tenya"?Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T
Kumbe chama hakikubaliki kama mnavyojinasibu? Ccm bila ya dola hakuna ccm kimashindani.Naona sasa mmechanganyikiwa kabisa.Na bado hiyo ilikuwa ni rasharasha tu .Mvua zenyewe ni Mwakani.