D
Sawa wewe ndiyo mwenye taarifa peke yako duniani hapa.Story za vijiweni. Mnapenda sana strory za hearsay zisizo na chembe yeyote ya ithibati. Bongo hii kama bado hujasingiziwa una ngwengwe, freemason, au una uza ngada ujue bado hujatoboa.
Itakuwa Teeth ya Buza kwa Mpalange, siyo hiyo ninayoijua Mimi ambayo kazi zao hazina mipakaTeeth wana mambo mengi ya msingi kuliko kufuatilia huo useng...e
Huyu dada anatafuta kwenda jela baadae aililie jamii imuonyeshe huruma, iwe kweli au si kweli huwezi kumtangaza mtu hivyo.
Kwenye siasa hawakumtaka tu we unafikili Hawa wachinjaji wangemuona kikwazo angekuwa salama mpaka Leo?Huyo kapambana na sirikali MO29 na bado kaukwrpa mkono wa chuma, sidhani kama kuna kitu anaogopa tena...
Idadi ya wenye ngwengwe waliopimwa ni milioni 8 ila aambao hawajapimwa ni wengi.
Mkuu unaweza ukatuambia Bongo nani aliyezungumziwa kwa hearsay halafu ikaja kujulikana ni uongo kati ya hivyo vitu ulivyosema NGWENGWE ,MUUZA NGADA ,GASHO(NGAPULILA)? Freemason au uchawi ni imani hauwezi kuithibitisha hivyo tuachane navyo nazungumzia hivyo vitu TANGIBLE(Ngwengwe ,muuza ngada,Ngapulila).Story za vijiweni. Mnapenda sana strory za hearsay zisizo na chembe yeyote ya ithibati. Bongo hii kama bado hujasingiziwa una ngwengwe, freemason, au una uza ngada ujue bado hujatoboa.
Nilimsikiliza Cherry Hollister akitoa takwimu ila nilivyokuwa najua waviu ni around 1.6m ,sasa juzi yeye amesema milioni 8 ikabidi nichukue hizo hizo maana yeye ndiyo yupo jikoni na pia hizi takwimu za sirikali mara nyingi si za kuamini sana maana wanazipika wakiwa hotelini na si kwa ground.We mzee hii takwimu umeitoa wapi 😃
Mil 8 hiyo si idadi ya wakazi wa mikoa 2 hadi 3...
Jina lake linafanana na jina la sikukuu moja hivi.Mkuu unaweza ukatuambia Bongo nani aliyezungumziwa kwa hearsay halafu ikaja kujulikana ni uongo kati ya hivyo vitu ulivyosema NGWENGWE ,MUUZA NGADA ,GASHO(NGAPULILA)? Freemason au uchawi ni imani hauwezi kuithibitisha hivyo tuachane navyo nazungumzia hivyo vitu TANGIBLE(Ngwengwe ,muuza ngada,Ngapulila).
Ukiona mtu anaambiwa kati ya hivyo vitu vitatu(Ngwengwe ,muuza ngada,ngapu) basi kuna mtu ambaye yupo close na hao watu ndiyo wanalikisha ,nakumbuka kuna mtangazaji flani alishatangulia mbele za haki ,miaka ya nyuma kabla jina alijawa kubwa wakati yupo wa moto na alikuwa chapachapa sana ,kuna kipindi akakanyaga waya wa madaktari wakampigisha shoti ,wakaachia File lake kama ana ngwengwe aliipata miaka ya 2006-2008.
Kuna msanii na yeye ,anaonesha ana maisha mazuri ,mziki hafanyi sana kwasasa ila ana hits nyingi,moja ya interview yake na BDozen Selection alisema ana kampuni yake ya matangazo ambayo inafanya kazi na iliyokuwa HSC,tetesi kwamba jamaa anapumuliwa na 001 ,na pia jamaa hajawahi kuwa na Demu ,anapush Gwagon.
Kuna jamaa tena alishwahi kuwa Mbunge wa jimbo moja la wala chips sana ,nyumba yake ipo kona ya kwenda kwa Bi Sandra alipokulia Dayamondi ,tetesi nyingi kwamba jamaa ni supplier wa Bwimbwi ,wewe unafikiri nani anayelikisha kama siyo Punda wake? Kama kusingiziwa kwanini asisingiziwe wajina wake "SABUFA"?
Ewaaaaaaa!!Jina lake linafanana na jina la sikukuu moja hivi.
Wanawake kwa mdomo hatuwaweziDotto ana mdomo kama demu sasa kaingia miziki ya demu mwenzie...Kiufupi kujibizana na mwanamke lazima atakuvua nguo.
Ngono kwa wanaume watz ni km uhai wakiikosa wanakufa,Hivi hizi nchi ulizotaja zina tabia kama ya kwetu Sub-Saharan Africa. Ngono kwenda mbele. Hata humu JF kila mtu anamtamani mwenzie kuinyuka K yake. Uliza Wanawake hasa walio open kama To yeye , Seran , Evelyn Salt au Kapeace wakueleze ukweli PM zao zinavyofurika vijana kuomba K. Mpaka wanafunga PM zao.
Kwa wenzetu pepo la ngono lipo chini lakini letu, Mungu anajua
Hii muhimu sana wakuu!!!Mkono Mmoja.
Sasa kukwambia tupime ndo unadai hutaki shobo, mmmmmh, emu screenshot unyayo unitumie, kabla ya yoteSitaki shobo
Mkuu unaweza ukatuambia Bongo nani aliyezungumziwa kwa hearsay halafu ikaja kujulikana ni uongo kati ya hivyo vitu ulivyosema NGWENGWE ,MUUZA NGADA ,GASHO(NGAPULILA)? Freemason au uchawi ni imani hauwezi kuithibitisha hivyo tuachane navyo nazungumzia hivyo vitu TANGIBLE(Ngwengwe ,muuza ngada,Ngapulila).
Ukiona mtu anaambiwa kati ya hivyo vitu vitatu(Ngwengwe ,muuza ngada,ngapu) basi kuna mtu ambaye yupo close na hao watu ndiyo wanalikisha ,nakumbuka kuna mtangazaji flani alishatangulia mbele za haki ,miaka ya nyuma kabla jina alijawa kubwa wakati yupo wa moto na alikuwa chapachapa sana ,kuna kipindi akakanyaga waya wa madaktari wakampigisha shoti ,wakaachia File lake kama ana ngwengwe aliipata miaka ya 2006-2008.
Kuna msanii na yeye ,anaonesha ana maisha mazuri ,mziki hafanyi sana kwasasa ila ana hits nyingi,moja ya interview yake na BDozen Selection alisema ana kampuni yake ya matangazo ambayo inafanya kazi na iliyokuwa HSC,tetesi kwamba jamaa anapumuliwa na 001 ,na pia jamaa hajawahi kuwa na Demu ,anapush Gwagon.
Kuna jamaa tena alishwahi kuwa Mbunge wa jimbo moja la wala chips sana ,nyumba yake ipo kona ya kwenda kwa Bi Sandra alipokulia Dayamondi ,tetesi nyingi kwamba jamaa ni supplier wa Bwimbwi ,wewe unafikiri nani anayelikisha kama siyo Punda wake? Kama kusingiziwa kwanini asisingiziwe wajina wake "SABUFA"?
Sasa uthibitishiwe wewe kama nani. Gari yangu ninayoendesha tu service yake moja tu ni hela ya kukulisha wewe na familia yako mwaka mzima halafu nipoteze muda kuleta uthibitisho kwako. Kikaragosi kama wewe unapewa taarifa tu, kukubali au kukataa ni uamuzi wako. You are nothing special.Hearsay stories again. Kama story za ushirikina kila mtu kasimuliwa ila hakuna uthibitishio ila sababu mnasimulianaga mkiwa vilabuni sishangai. Miafrika na ujinga:
View attachment 3638155
Wabongo na upigaji ni chupi na tako. Hata mimi hiyo michezo nimeifanya sana. Lakini mzigo upo mtaani mkuu. Take careLakini data za clients wapya nyingi ni kubumba sana, atleast kwa sasa baada ya kuleta mambo ya finger print japo bado kuna michezo ipo, nimefanya huko miaka 5 so najua ninachoongea(ghost Clients)
Sasa uthibitishiwe wewe kama nani. Gari yangu ninayoendesha tu service yake moja tu ni hela ya kukulisha wewe na familia yako mwaka mzima halafu nipoteze muda kuleta uthibitisho kwako. Kikaragosi kama wewe unapewa taarifa tu, kukubali au kukataa ni uamuzi wako. You are nothing special.
Nilimjibu kwamba Teeth wetu wapo bize kwenye UPIGAJI na usalama wa thithiemu ,hawana muda kudeal na "muasirika".Kwahiyo nawewe unaamini teeth wanaua watu wenye ngwengwe hadi kutuma msg kwamba muathirika kafika hapa kama alivyodai kinondoniilala.
Hii bongo inawezekana kila mtu anajua wewe una ngoma au mchawi isipokuwa wewe mwenyewe tu. Ujinga bado ni janga namba moja la taifa.
Nilimjibu kwamba Teeth wetu wapo bize kwenye UPIGAJI na usalama wa thithiemu ,hawana muda kudeal na "muasirika".
Brother Kuna watu TEETH wanawafuatilia kwa sababu Wanaishi na VVU, na inasemekana Wana usambaza hata hapo uliza kwa TEETH yeyote wa karibu na wewe.Kwahiyo nawewe unaamini teeth wanaua watu wenye ngwengwe hadi kutuma msg kwamba muathirika kafika hapa kama alivyodai kinondoniilala.
Hii bongo inawezekana kila mtu anajua wewe una ngoma au mchawi isipokuwa wewe mwenyewe tu. Ujinga bado ni janga namba moja la taifa.