Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

Asante sana mkuu story yako imeenipa hamasa na mimi kuanza kufanya hivyo ila inataka moyo pale unapofanya kila kitu lakini badala upungue unaona unaongezeka hapo inakata moyo sana yaan
 
Shamba
 
Kula mwisho saa sita mchana kwa miez sita mfululuizo usile baada ya huo mda mpaka kesho yake
 
Mimi nawaona tu watu mijini wakipiga tizi Kila Leo mara mwaka umesogea lakini uzito uko pale pale, yaani unapiga tizi halafu msosi unaokula ni ule ule wa kabla ya mazoezi, badala ya kupunguza kujishindia sana lakini mtu anadhani tiba ni mazoezi tu. Vyakula vyetu hivi vinahitaji nidhamu kuvitumia, lazima ujue unakula chakula gani na tupunguze chakula gani!, tatizo ni UROHO unatusumbua.
 
Hahaaaaaa mi hadi nilimeza vidonge vya Max Slim ila wapi? Sasa nakula tu potelea pote kikubwa unene hauniletei shida yoyote.
 
Hahaaaaaa mi hadi nilimeza vidonge vya Max Slim ila wapi? Sasa nakula tu potelea pote kikubwa unene hauniletei shida yoyote.
Kweli mkuu kwa hio sasa hivi una KG ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…