Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Swali jafidifu
Je alichofanya HAMAS jumamosi iliyopita ni sawa?
Una mtazamo gani na jambo hilk?
 
Tukiacha hayo, ni wazi haufanyi homework vizuri. Wakaanani hawakuwa watu halisi. Ni giants na giantees ambao hawakuwa wanadamu walioumbwa na Mungu. Walipaswa kuwa eliminated na hususan seems walisurvive Great Flood ya Nuhu.
Sio kweli, canaan alikua mtoto wa Nuhu kabisa na alikua na watoto zaidi ya 13 na ndio walikua wakazi wa mwanzoni wa Canaan. Miji kama Raba, Gaza, Bashan, Kiriath-Arba n.k walishakua wanaishi huko. Hao wayahudi wenyewe ni wavamizi tu na walichinja hayo makabila ndio wakachukua nchi kiubabe.

Hata huyo Ibrahim si alitokea huko uarabuni? Sasa kivipi useme Jews originally ni wakutokea pale canaan?
 
Je alichofanya HAMAS jumamosi iliyopita ni sawa?
Ni sawa maana wanapambana na wavamizi.
Una mtazamo gani na jambo hilk?
Mtazamo ni kwamba huwezi kalia kimabavu ardhi ya taifa jingine alafu ushangae wakijitetea!!

Hata Afrika kusini kina Mandela walikua wanaua sana makaburu kipindi wanapinga uvamizi ila sisi tunamuita shujaa sio gaidi. Why sasa tunaona ni ajabu Palestina wakifanya kitu kile kile alichofanya Mandela?
 
Tofautisha Jews na Israelities.

Hapo unaongekea fini na Taifa.

Eneo kuitwa Kaanani siyo kwamba all inhabitants were Caananites. Walimezwa.
 
Wanaotuchukia ni viongozi wao fulani. Tunaishi nao hao raia hawwna kwere😀
si wanatuita machogo 🤣 warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
 
si wanatuita machogo 🤣 warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
Wabongo mna gubu nyie balaa.

Unajua Wazenji wanajua kupika balaa. Tutakosa madikodiko sheikh😀
 
si wanatuita machogo [emoji1787] warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
[emoji23][emoji23][emoji23] unawachokoza wakaazi wa Mwembe kisonge,Makunduchi na kwingineko.Subiri waone comment yako hapa patageuka ukanda wa Gaza muda si mrefu
 
Jews na Israelities.
Jews tunawaita hivyo sababu ya Judaeah sio sababu ya dini!! Najua unafahamu makabila 10 yalipotea utumwani na yaliyobaki yalikua Juda + Ephraim. So Jews ikaanzia hapo.
Hapo unaongekea fini na Taifa
Israel pia sio "taifa" ilikua jina la Yakobo.

Eneo kuitwa Kaanani siyo kwamba all inhabitants were Caananites. Walimezwa
Kwa logic hii hata eneo kuitwa Israel haina maana wanaoishi hapo ni original Jews wengi ni wazungu tu (Ashkenazi Jews) sio wale original kama Sephardic Jews!
 
Unachofanya ni kama kufananisha maji na moto. Vitu tofauti hivyo!
Hao wayahudi walikua wanateswa France, Poland, Germany, na Russia Kote huko walikua oppressed ila hawajifunzi tu kuishi vizuri na watu. Na ndio maana tunasema wa kujifunza hapa ni Israel sio Palestine maana haya wanayofanya siku meza ikigeuka watajuta kama enzi za Ottoman empire au Assyrian empire.
 
Ni Ujinga tu

Watu walikuwa wanapewa umeme na maji bure lakini huwa hawana uvumilivu na upendo kwa wengine

Wanajua tu kuua na kujilipua

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 

Pitia huo uzi upya bila mihemko utajifunza kitu
 
Eeeh mbona wanarusha drones mpaka kwenye Russian territory au upo dunia gani wewe?

Safi sana maana wanajibu ugaidi wa Putin kama ugaidi wa wale ndugu zenu HAMAS.
 
Basi muwe kimya anavyonyolewa sasa
Hivi mkuu majambazi yateke mtaa wenu ili yaibe.

Wewe ukaamka na panga ukamshambulia jambazi mmoja.

Alafu majambazi mengine yakasikia kelele, na yakaja kumsaidia jambazi mwenzako.

Je sisi kama majirani au raia wenza inafaa tukae kimya unaposhambuliwa na hayo majambazi?
 

Wala sipo kwenye dini moja na Wayahudi, natumia akili kudadavua, inapaswa na wewe pia utumie ubongo utaelewa.
 
Siyo kwamba wanapigana na dini zingine tu, ila bado wanaongoza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Angalia huko Somalia, Sudan, Yemen, Libya, , Misri, Afghanistan na kwingineko ni waislam tupu ila wanatwangana vibaya. Hawa wavaa kobazi hawa....
Nafikiri kupigana na kuuana ni sehemu ya mafundisho ya dini yao

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…