Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Masaka, Ntungamo, ni moja ya miji tuliua, kubaka raia n.k.

Wala sina udini mimi ni mkristo ila Palestine are oppressed for so long. Hayo ya kuvamia raia wa Israel nimekueleza hapa ndio tulichofanya Tanzania na Ukraine pia wanafanya maana anayekalia ardhi yako kinyume na utaratibu ni mvamizi and hakuna namna nyingine zaidi ya kumtoa kwa nguvu.

Ukraine kila siku inarusha makombora huko Bakhmut na Crimea kwani hakuna raia? Yeye anatetea mipaka yake same to Tanzania tulichofanya Uganda huwezi pinga alichofanya nyerere eti kisa kuna "Collateral Damage".
Swali jafidifu
Je alichofanya HAMAS jumamosi iliyopita ni sawa?
Una mtazamo gani na jambo hilk?
 
Tukiacha hayo, ni wazi haufanyi homework vizuri. Wakaanani hawakuwa watu halisi. Ni giants na giantees ambao hawakuwa wanadamu walioumbwa na Mungu. Walipaswa kuwa eliminated na hususan seems walisurvive Great Flood ya Nuhu.
Sio kweli, canaan alikua mtoto wa Nuhu kabisa na alikua na watoto zaidi ya 13 na ndio walikua wakazi wa mwanzoni wa Canaan. Miji kama Raba, Gaza, Bashan, Kiriath-Arba n.k walishakua wanaishi huko. Hao wayahudi wenyewe ni wavamizi tu na walichinja hayo makabila ndio wakachukua nchi kiubabe.

Hata huyo Ibrahim si alitokea huko uarabuni? Sasa kivipi useme Jews originally ni wakutokea pale canaan?
 
Je alichofanya HAMAS jumamosi iliyopita ni sawa?
Ni sawa maana wanapambana na wavamizi.
Una mtazamo gani na jambo hilk?
Mtazamo ni kwamba huwezi kalia kimabavu ardhi ya taifa jingine alafu ushangae wakijitetea!!

Hata Afrika kusini kina Mandela walikua wanaua sana makaburu kipindi wanapinga uvamizi ila sisi tunamuita shujaa sio gaidi. Why sasa tunaona ni ajabu Palestina wakifanya kitu kile kile alichofanya Mandela?
 
Sio kweli, canaan alikua mtoto wa Nuhu kabisa na alikua na watoto zaidi ya 13 na ndio walikua wakazi wa mwanzoni wa Canaan. Miji kama Raba, Gaza, Bashan, Kiriath-Arba n.k walishakua wanaishi huko. Hao wayahudi wenyewe ni wavamizi tu na walichinja hayo makabila ndio wakachukua nchi kiubabe.

Hata huyo Ibrahim si alitokea huko uarabuni? Sasa kivipi useme Jews originally ni wakutokea pale canaan?
Tofautisha Jews na Israelities.

Hapo unaongekea fini na Taifa.

Eneo kuitwa Kaanani siyo kwamba all inhabitants were Caananites. Walimezwa.
 
Wanaotuchukia ni viongozi wao fulani. Tunaishi nao hao raia hawwna kwere😀
si wanatuita machogo 🤣 warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
 
si wanatuita machogo 🤣 warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
Wabongo mna gubu nyie balaa.

Unajua Wazenji wanajua kupika balaa. Tutakosa madikodiko sheikh😀
 
si wanatuita machogo [emoji1787] warushe mabomu bara huku ili shughuli ianze wanadai muungano hawautaki. Ni kuwazimia umeme na hamna boti kupeleka msosi wala meli yeyote kuingia zenji.
[emoji23][emoji23][emoji23] unawachokoza wakaazi wa Mwembe kisonge,Makunduchi na kwingineko.Subiri waone comment yako hapa patageuka ukanda wa Gaza muda si mrefu
 
Jews na Israelities.
Jews tunawaita hivyo sababu ya Judaeah sio sababu ya dini!! Najua unafahamu makabila 10 yalipotea utumwani na yaliyobaki yalikua Juda + Ephraim. So Jews ikaanzia hapo.
Hapo unaongekea fini na Taifa
Israel pia sio "taifa" ilikua jina la Yakobo.

Eneo kuitwa Kaanani siyo kwamba all inhabitants were Caananites. Walimezwa
Kwa logic hii hata eneo kuitwa Israel haina maana wanaoishi hapo ni original Jews wengi ni wazungu tu (Ashkenazi Jews) sio wale original kama Sephardic Jews!
 
Unachofanya ni kama kufananisha maji na moto. Vitu tofauti hivyo!
Hao wayahudi walikua wanateswa France, Poland, Germany, na Russia Kote huko walikua oppressed ila hawajifunzi tu kuishi vizuri na watu. Na ndio maana tunasema wa kujifunza hapa ni Israel sio Palestine maana haya wanayofanya siku meza ikigeuka watajuta kama enzi za Ottoman empire au Assyrian empire.
 
Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha.

Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu ya Israel yamesababisha maafa na majanga mengi sana, watu wamerudishwa nyuma hadi zero.

Inauma kishenzi, licha ya kwamba mimi ni pro-Israel lakini kila nikiona haya mapicha nasikitika sana, mnashindwa vipi kuishi na binadamu wenzenu kwa amani kama kweli hiyo dini inafundisha amani.

Dini yenyewe fulu vurugu, ina maugomvi na dini zote, mara mpigane na Wahindi, Wabutha, Wakristo hata hawa Wayahudi, kote kote dini moja tu, vurugu zenu mpaka hata huku Afrika kwa tuliojichokea kimaisha bado mnatulipua.

Nenda kule Congo, maskini wakulima wanachinjwa na kundi la AFP kisa dini.

gaza-strip-1200.jpg
Ni Ujinga tu

Watu walikuwa wanapewa umeme na maji bure lakini huwa hawana uvumilivu na upendo kwa wengine

Wanajua tu kuua na kujilipua

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
There's no amount of justification inaweza halalisha upuuzi mnaofanya. Acheni kukalia kwa mabavu nchi ya watu kwani ardhi si ilishakua imegawanywa kwa ratio ya 55:45 sasa nini kimewafanya kila siku mjitanue? Na sio hapo tu hata maeneo ya Golan Heights pia mlipora.... same to kipande cha Misri kule Sinai (baada ya kupigwa biti mkapisha).

Ni ajabu sana mnampinga Putin ila mnashabikia wazayuni

Pitia huo uzi upya bila mihemko utajifunza kitu
 
Basi muwe kimya anavyonyolewa sasa
Hivi mkuu majambazi yateke mtaa wenu ili yaibe.

Wewe ukaamka na panga ukamshambulia jambazi mmoja.

Alafu majambazi mengine yakasikia kelele, na yakaja kumsaidia jambazi mwenzako.

Je sisi kama majirani au raia wenza inafaa tukae kimya unaposhambuliwa na hayo majambazi?
 
Ni ajabu sana mtu unayejitambua unashabikia uonevu kisa mahaba ya kidini. Kwani walivyopewa mipaka ya nchi yao kulikua na ulazima gani wa kuvamia wenzake?

Kama ni kujifunza ni wayahudi maana hii superiority complex yao ilipelekea wachinjwe kama Kuku both in Russia na Germany na wasipojifunza yatakuja kujirudia.

Wala sipo kwenye dini moja na Wayahudi, natumia akili kudadavua, inapaswa na wewe pia utumie ubongo utaelewa.
 
Siyo kwamba wanapigana na dini zingine tu, ila bado wanaongoza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Angalia huko Somalia, Sudan, Yemen, Libya, , Misri, Afghanistan na kwingineko ni waislam tupu ila wanatwangana vibaya. Hawa wavaa kobazi hawa....
Nafikiri kupigana na kuuana ni sehemu ya mafundisho ya dini yao

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom