Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Swali jafidifuMasaka, Ntungamo, ni moja ya miji tuliua, kubaka raia n.k.
Wala sina udini mimi ni mkristo ila Palestine are oppressed for so long. Hayo ya kuvamia raia wa Israel nimekueleza hapa ndio tulichofanya Tanzania na Ukraine pia wanafanya maana anayekalia ardhi yako kinyume na utaratibu ni mvamizi and hakuna namna nyingine zaidi ya kumtoa kwa nguvu.
Ukraine kila siku inarusha makombora huko Bakhmut na Crimea kwani hakuna raia? Yeye anatetea mipaka yake same to Tanzania tulichofanya Uganda huwezi pinga alichofanya nyerere eti kisa kuna "Collateral Damage".
Je alichofanya HAMAS jumamosi iliyopita ni sawa?
Una mtazamo gani na jambo hilk?