Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Ugaidi gani mkuu? Kupigania uhuru sio ugaidi hizo mbinu hata Mandela alitumia kumdhoofisha kaburu ilihali alijua amezidiwa silaha na majeshi!!

Huwezi ogopa kupambana kisa unaogopa majibu ya adui. Ingekua hivyo kina Nyerere wasingeweza support mataifa ya afrika kupambana na majeshi ya kikoloni.
Raia wq Israel na watoto ndo waliowanyima haki Hamas?
 
Kushambulia watu kwa maroketi 4,000 kwenye makazi yao, basi nawe ufe tu, haya wanakufa na kwanza wamerejeshwa nyuma miaka 50 na wanaendelea kupigwa, inatia huruma ila hamna namna mpaka siku watajifunza kuishi na watu kwa amani.
Ni ajabu sana mtu unayejitambua unashabikia uonevu kisa mahaba ya kidini. Kwani walivyopewa mipaka ya nchi yao kulikua na ulazima gani wa kuvamia wenzake?

Kama ni kujifunza ni wayahudi maana hii superiority complex yao ilipelekea wachinjwe kama Kuku both in Russia na Germany na wasipojifunza yatakuja kujirudia.
 
Kuna wanaosema kuwa kilichofanyika hapa ni sawa na kilichofanyika September 11 kule kwa mwamba. Kwamba MOSSAD na CIA walijua lakini wakakausha ili wapate kisingizio cha kufanya kile ambacho wamekuwa wakitamani kufanya kwa miaka mingi ila wanakosa sababu. Collateral damage ya watu 1,000+ lakini Bibi naona ameamua kufanya kile wanaita "final solution". Inasikitisha japo ni justifiable!
Nimeangalia vid moja inatia huruma sana.

Israel wanawaponda Gaza aisee doh
 
Raia wq Israel na watoto ndo waliowanyima haki Hamas?
Eeh si wavamizi wa ardhi ya palestina!! Hata Tanzania tuliua raia wa Uganda kwa makombora yetu kipindi tunapigania ardhi yetu and so does Ukraine na nchi zote zilizovamiwa na majeshi ya kigeni.
 
Kuna wanaosema kuwa kilichofanyika hapa ni sawa na kilichofanyika September 11 kule kwa mwamba. Kwamba MOSSAD na CIA walijua lakini wakakausha ili wapate kisingizio cha kufanya kile ambacho wamekuwa wakitamani kufanya kwa miaka mingi ila wanakosa sababu. Collateral damage ya watu 1,000+ lakini Bibi naona ameamua kufanya kile wanaita "final solution". Inasikitisha japo ni justifiable!
Kipi hawajakifanya kwa miaka mingi? Mbona Wamekua wakivamia Gaza kila siku na kuua wanaoita "magaidi"? Tukubali tu intelligence ilifeli huwezi ku risk watu 1200 upate justification ya kushambulia mtu unayemshambulia kila siku with or without a reason.
 
Ni ajabu sana mtu unayejitambua unashabikia uonevu kisa mahaba ya kidini. Kwani walivyopewa mipaka ya nchi yao kulikua na ulazima gani wa kuvamia wenzake?

Kama ni kujifunza ni wayahudi maana hii superiority complex yao ilipelekea wachinjwe kama Kuku both in Russia na Germany na wasipojifunza yatakuja kujirudia.
Wakati Hamas wanawaua Waisrael pale Jumamosi walikuwa wanaua kwa kumtaja Mungu yupi?

Mkuu, hata jumapili masheikh walitumia mimbari kutangazs jihad. Muwe mnakemea hizo mambo ili ijulikane kabisaa kuwa ni vita ya maeneo.

Kihistotia lile ni eneo la Israel ingawa sina imani kubwa kama hawa tunaowaona leo ni Waisrael wenyewe
 
Alie wadanganya km yupo wamkate kate km nyama ya kuku maana kawaingiza kwenye mtumbwi wa vibwengo.Israel hawana show za vumbi la kikongo wana show za kibabe wamepiga Gaza imegeuka magofu na bado anawapelekea moto.
Ndio hivyo hata Ukraine inajua Russia ni wababe ila haikua sababu ya ku surrender. Kwa hiki mnachosema ni sawa sawa na Tanzania tungeogopa kupigana na Uganda kisa tu hofu ya nguvu za Idd Amini?
 
Kihistotia lile ni eneo la Israel ingawa sina imani kubwa kama hawa tunaowaona leo ni Waisrael wenyewe
Sio kweli, tukienda kihistoria au kidini hao Israel walikuta tayari watu wanaishi hapo wale canaanites. Walichofanya ni kuua (Mass genocide) ya wenyeji ndio wakapoka maeneo..... mengineyo walinunua ila originally haikua ardhi yao hata Bible ipo clear.

Same to Kagera historically sio ardhi ya Tanzania, Ziwa nyasa sio part ya Tanzania, Alaska sio Marekani, California sio marekani n.k sasa kila mtu akidai ardhi ya kihistoria hivi kuna nchi itapona kweli?
 
Eeh si wavamizi wa ardhi ya palestina!! Hata Tanzania tuliua raia wa Uganda kwa makombora yetu kipindi tunapigania ardhi yetu and so does Ukraine na nchi zote zilizovamiwa na majeshi ya kigeni.
Nitajie vijiji vilivyofekwa na TPDF wakati wa vita ile. Tulideal na majeshi ndo maana baada ya joka kukimbia tukarudi home tumeshinda. Hatukuikalia Uganda hata sekunde moja.

Raia wa Isrel anafuatwa nyumbani kwake anachinjwa yeye, mkewe, watoto na wazazi wake. Cold blooded na wewe unaona sawa. Basi Israel anayo haki ya kujilinda na kujihakikishia usalama wa raia wake.

Mkuu, inawezekana kabisa umelipokea hili jambo kwa mtazamo wako wa kidini tofauti na kihistoria
 
Brother, wanayopitia sasa sio mageni kwao wamekuwa hivyo for the last 50years.

Hivyo walivyopata nafasi ya kufanya walichofanya wameona kama ni heri kwao ingawa kwa kweli hali ni mbaya.

Watoto wao wameuwawa kila siku kwa zaidi ya miaka 50

Vijana wameteseka na kina mama wametengwa na familia zao kila siku kwa miaka 50.
Sasa kama wanayopitia siyo mageni,kwanini wanalia mpaka sauti zinawakauka kwa maumivu na machungu makali wanayopitia sasa hivi.Ukweli nyinyi na mitazamo yenu hii ndiyo mnawaponza sana wenzenu wakati ninyi mko sehemu salama na mnacomment kuonyesha wako Imara lakini uhalisia mioyo yao imesambaratika kwa kukosa matumaini ya kuishi hata masàa kadhaa yajayo.

Nenda kwa page ya eye.on.palestine kule Istagram kajionee mwenyewe wanachokipitia na jinsi wanavyoililia Dunia kuwa safari hii mateso ni makali zaidi.Tuombe hali itulie tu kila upande uendelee na maisha ya kawaida ndilo la msingi sana.
 
Hamas wanawaua Waisrael pale Jumamosi walikuwa wanaua kwa kumtaja Mungu yupi?

Mkuu, hata jumapili masheikh walitumia mimbari kutangazs jihad. Muwe mnakemea hizo mambo ili ijulikane kabisaa kuwa ni vita ya maeneo.
Whatever the case..... ni sawa tu na wanachofanya Ukraine kupinga majeshi ya uvamizi alafu mnaona ni ajabu akifanya palestina.
 
Haijalishi Hamas kujifungia wanakula kuku na mvinyo Halafu watoto na akina mama wanateseka na kuvuliwa km kuku wa kideri.

Hamas hawakujua haya? Jibu walijua lkn wao Wana shida gani.
Hamas waliamini baada ya kufanya unyama na utekaji Israel atashambulia then mediators waingilie kati harafu wabadilishane wafungwa. This time around,that idea was wrong!
 
Hamas hajaanzisha kitu chochote. Msitake kuibadili histori na kuiweka visivyo. Hamas ilianzishwa na haohao wayahudi.

Kizazi cha kilioianxieha hamas ambao waliwa ni vikaragisi vya mayahudi kimekwisha hiki sasa kizazi kipya.

Hamas walifahamu sana huu ni mpango wa mayahdi wa kuwawachia upenyo ili wawamalize lakini hamas wakaona wautumie huohuo upenyo wafe kiume. Liwalo na liwe.

Hakuna jipya hapo. Ni muendelezo wa kkuwakatisha tamaa wapalestine waondoke au wamalizwe, ni mauwaji ya kimbari "genocide" ya wazi kabisa.

Lakini kwa kuwa inafanywa na mungu wenu wa mchongo, myahudi, hamuyaoni.
 
...Same to Kagera historically sio ardhi ya Tanzania, Ziwa nyasa sio part ya Tanzania, Alaska sio Marekani, California sio marekani n.k sasa kila mtu akidai ardhi ya kihistoria hivi kuna nchi itapona kweli?
Mkuu
Kihistoria hata Dar es Salaam siyo ardhi ya Tanganyika hata Mbeya na kadhalika. Hii mipaka imechorwa 1885 chini ya Von Bismark pale Berlin.

Tukiacha hayo, ni wazi haufanyi homework vizuri. Wakaanani hawakuwa watu halisi. Ni giants na giantees ambao hawakuwa wanadamu walioumbwa na Mungu. Walipaswa kuwa eliminated na hususan seems walisurvive Great Flood ya Nuhu.

Pale ni kwa Israel.
 
Nitajie vijiji vilivyofekwa na TPDF wakati wa vita ile. Tulideal na majeshi ndo maana baada ya joka kukimbia tukarudi home tumeshinda. Hatukuikalia Uganda hata sekunde moja.
Masaka, Ntungamo, ni moja ya miji tuliua, kubaka raia n.k.
Raia wa Isrel anafuatwa nyumbani kwake anachinjwa yeye, mkewe, watoto na wazazi wake. Cold blooded na wewe unaona sawa. Basi Israel anayo haki ya kujilinda na kujihakikishia usalama wa raia wake.

Mkuu, inawezekana kabisa umelipokea hili jambo kwa mtazamo wako wa kidini tofauti na kihistoria
Wala sina udini mimi ni mkristo ila Palestine are oppressed for so long. Hayo ya kuvamia raia wa Israel nimekueleza hapa ndio tulichofanya Tanzania na Ukraine pia wanafanya maana anayekalia ardhi yako kinyume na utaratibu ni mvamizi and hakuna namna nyingine zaidi ya kumtoa kwa nguvu.

Ukraine kila siku inarusha makombora huko Bakhmut na Crimea kwani hakuna raia? Yeye anatetea mipaka yake same to Tanzania tulichofanya Uganda huwezi pinga alichofanya nyerere eti kisa kuna "Collateral Damage".
 
Sasa nchi kupiga kijiji na kukukitaia umeme na maji hio ni vita kweli. Huko Hamas ni kama kijiji kimoja cha Israel tu
 
Whatever the case..... ni sawa tu na wanachofanya Ukraine kupinga majeshi ya uvamizi alafu mnaona ni ajabu akifanya palestina.
Kinachotokea Mashariki ya Kati na Ukraine na Syria na Yemen na Libya na DRC na Msumbiji na Sudan na Afghan na kwingineko kwenye vita ni miradi ya mataifa ya Magharibi kulinda viwanda vyao vya silaha.

Mbona vita ilee ya Erittea na Ethiopia iliisha bila mshindi kutangazwa baada ya kila upande kupokwa haki ya kununua silaha?

Naamini kwenye reconciiation mtambuka. Ceasefire iendane na mapatanisho jadidifu
 
Tunasubiria wazenji nao watupe mabomu bara maana wanatuchukia mno. Kazi kazi
 
Back
Top Bottom