Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Raia wq Israel na watoto ndo waliowanyima haki Hamas?Ugaidi gani mkuu? Kupigania uhuru sio ugaidi hizo mbinu hata Mandela alitumia kumdhoofisha kaburu ilihali alijua amezidiwa silaha na majeshi!!
Huwezi ogopa kupambana kisa unaogopa majibu ya adui. Ingekua hivyo kina Nyerere wasingeweza support mataifa ya afrika kupambana na majeshi ya kikoloni.