Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?



Mtoto wa OCD ndio wa kishua?
 
Love is directly proportional to the economic status you have.
Alafu unapochangia mada tumia lugha nzuri.
Msamehe tu lakini jombaa mapenzi hayana fomla unaweza kuwa upo na cash bado ukazinguliwa halafu boda boda akang'oa pisi Kali kiulain mwisho wa siku unamtaftia mabaunsa wampige....sisi mabaharia tunatumia akili sana kuwakata watoto wazuri mwamba namshauri akomae akaze one day tembo ataja lala mwenyewe
 
How old r u?
2nd qn:
Sp iko interested sababu no mtoto wa kishua sio??
 
Kweli mzee Ila Hawa viumbe hawaelewiki Kama mvua za dar
 
OCD wa mwanza hapa naandika.....
[emoji117]wew kijana nmekukumbuka, si ndye wew juzi ulikatisha mbele ya V8 yangu ukiomba tenda yakurekebisha oil chafu, na ukasema unakaa mtaa wa3?
[emoji117]sie wew ulisema una uzoef wa kaz za ndan na unataka kibarua cha kumwagilia garden yangu pale home?
[emoji117]halooooo kijana kuwa makini...nitakutafuta[emoji114]

note:- kijana nitakutafuta, unataka kumfanya nn binti yangu bado mdogo[emoji23]
 
Fanya juu chini umtoe date huyo mchumba afu improve your nonverbal cues mkiwa date na ukiadapt the man mentality unachukua chombo icho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…