Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii.
Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu.
Nikamwambia naitwa fulani waitwa nani wew?akajibu.
Yey."ili iweje!
Mim."naomba tuwe marafk
Yey."urafki feki uo
Mim."kama huta jali naomba namba yako ya simu
Yeye."akaguna tu then akaingia getini.
Sasa wadau naombeni msaada wenu ni namna gani ya kumnasa huyo binti.anamatako makubwa usipime kias kwamba hata kutembea unaona kabsa yanampa shida.kiuno kidogooo
Wadau wamenambia dingi ake ni OCD
Mabaharia nitumie mbinu gni huyu mtoto.
Msamehe tu lakini jombaa mapenzi hayana fomla unaweza kuwa upo na cash bado ukazinguliwa halafu boda boda akang'oa pisi Kali kiulain mwisho wa siku unamtaftia mabaunsa wampige....sisi mabaharia tunatumia akili sana kuwakata watoto wazuri mwamba namshauri akomae akaze one day tembo ataja lala mwenyeweLove is directly proportional to the economic status you have.
Alafu unapochangia mada tumia lugha nzuri.
Huyo hapend shoo off kakaHashoboki na hela huyo maana hapo nyuma brother aliniachiaga ka gari lkn hata hakushoboka ndio kwanza haitikii salamu
Haiwezekani mtu mmoja kuwa na miaka miwili tofauti20 & 21
Wewe ni Kipunga katika MapungaTz kuna wehu wengi sana na wew ni mmoja wao
How old r u?Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii.
Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu.
Nikamwambia naitwa fulani waitwa nani wew?akajibu.
Yey."ili iweje!
Mim."naomba tuwe marafk
Yey."urafki feki uo
Mim."kama huta jali naomba namba yako ya simu
Yeye."akaguna tu then akaingia getini.
Sasa wadau naombeni msaada wenu ni namna gani ya kumnasa huyo binti.anamatako makubwa usipime kias kwamba hata kutembea unaona kabsa yanampa shida.kiuno kidogooo
Wadau wamenambia dingi ake ni OCD
Mabaharia nitumie mbinu gni huyu mtoto.
Kweli mzee Ila Hawa viumbe hawaelewiki Kama mvua za darMsamehe tu lakini jombaa mapenzi hayana fomla unaweza kuwa upo na cash bado ukazinguliwa halafu boda boda akang'oa pisi Kali kiulain mwisho wa siku unamtaftia mabaunsa wampige....sisi mabaharia tunatumia akili sana kuwakata watoto wazuri mwamba namshauri akomae akaze one day tembo ataja lala mwenyewe
Wewe ndio wa kishuaMtoto wa OCD ndio wa kishua?
Wewe ndio wa kishua
wa 5Wew ulishabaka wangap!