JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Nipo aiseeee.... KitamboBoss kitambo. Upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo aiseeee.... KitamboBoss kitambo. Upo?
Ka engine kakitoto sana kwa SUV yaniIla wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.
Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Ni nusu mkuu.Pamoja Mmarekani.
We kenge kweli mbona zipo hybrid na gas powered vehicles nyingi kutoka chinaWachina wanatengeneza gari za umeme. Kama tutasubiri used baada miaka 10 zitafaa?
Unaivuta ukiwa na kitu kama milioni amsini hivi pesa za madafu au sio 😅😅😅😅 ngoja nikaapply mkopo CRDB bank nimnunulie mtoto kama yule wa harmonize ye poshy, sema yeye awe mrefu kidogo kama sanchoka 😅😅😅 nanunua mawili black and white tena zote ni cherry..... cocastic chawa wangu njoo huku unipambe, wewe ntakubless kibaby walker kimoja kisubaru imprezza au rumions ya maroon 😅😅😅😅......$14,000 hadi $16,000 brand new.
IST 2007 inavyotoka ilikua $15,000 hadi $17,000
Ukijumlisha na inflation rate unaweza kuta ni approximately $20,000 sahivi.
Switch on then chomoa terminal ya + then rudisha baada ya dakika5Speaking of cars. Wakuu Subaru inawaka taa ya ABS toka jana shida itakuwa nini
Kwa mchina anaweza akatengeneza shock absorbers one for all yaani kwenye lorry twende pikipiki au gari hiyo hiyo unafunga 😄 🤣Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.
Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
We pimbi kweli mimi nimeongelea hybridWe kenge kweli nimeongelea magari ya umeme (EV) siyo hybrid
Mchina unapta kutokana na pesa yako hata ukitaka ndege ya mil 200 unapata ila quality ndio utajua...Mchina ana gari quality kama kawaida ila ukitaka vya bei rahisi ndio utaelewaIla wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.
Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Ni mini SUV, hata VW wanayo yenye 1.4 min suv so ni normalIla wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.
Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Wewe nzi kweli kwani umeona nimesema niniWe nguchiro kweli umeongelea nini hapo
Kumbuka hata enzi za Yungtong vs Scania, watu waliwadharau sana, Sasa hivi soko limejaa mchina, mabasi mpaka malori, vifaa vya mawasiliano simu huwawei si mchezo, servers, firewalls, switch, storage yuko mbali. kwenye medani za anga kumbuka duniani ni nchi pekee yenye kituo chake Cha anga za mbali amejenga bila msaada wa mtu, pia wanatoa stealth fighter jet copy kama F35 inahisiwa zinaweza kuwa hatari zaidi, na soon watakuwa na Airbus zao. Kwenye sekta ya benki ukipita ATM nyingi utaona GRG mwanzo ilikuwa ni NCR, Wincor Nixdolf au Diebold. Kwenye ujenzi na madini Hata Sina Cha kusema.Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.
Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
ni mzoefu sanaHuyu jamaa nampenda bure, Huwa nafuatilia sana nyuzi zake, anajua magari balaaa hongera Mad Max
Si unaona pikipiki? Kupata pkpk ya kijapan Tz sio rahisi tenaalete na sisi tuanze kuendesha 0 Km.