Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

Hawa wachina ndo maana wanazidi kuwa juu kiuchumi . Kila kitu wanakopy wanachotaka Hela.
Dah natamani Bongo tungejaribu kufanya angalau kama hivi
 
$14,000 hadi $16,000 brand new.

IST 2007 inavyotoka ilikua $15,000 hadi $17,000

Ukijumlisha na inflation rate unaweza kuta ni approximately $20,000 sahivi.
Unaivuta ukiwa na kitu kama milioni amsini hivi pesa za madafu au sio 😅😅😅😅 ngoja nikaapply mkopo CRDB bank nimnunulie mtoto kama yule wa harmonize ye poshy, sema yeye awe mrefu kidogo kama sanchoka 😅😅😅 nanunua mawili black and white tena zote ni cherry..... cocastic chawa wangu njoo huku unipambe, wewe ntakubless kibaby walker kimoja kisubaru imprezza au rumions ya maroon 😅😅😅😅......
 
Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.

Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Mchina unapta kutokana na pesa yako hata ukitaka ndege ya mil 200 unapata ila quality ndio utajua...Mchina ana gari quality kama kawaida ila ukitaka vya bei rahisi ndio utaelewa
 
Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.

Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Kumbuka hata enzi za Yungtong vs Scania, watu waliwadharau sana, Sasa hivi soko limejaa mchina, mabasi mpaka malori, vifaa vya mawasiliano simu huwawei si mchezo, servers, firewalls, switch, storage yuko mbali. kwenye medani za anga kumbuka duniani ni nchi pekee yenye kituo chake Cha anga za mbali amejenga bila msaada wa mtu, pia wanatoa stealth fighter jet copy kama F35 inahisiwa zinaweza kuwa hatari zaidi, na soon watakuwa na Airbus zao. Kwenye sekta ya benki ukipita ATM nyingi utaona GRG mwanzo ilikuwa ni NCR, Wincor Nixdolf au Diebold. Kwenye ujenzi na madini Hata Sina Cha kusema.

Kumbuka kampuni nyingi za kizungu uzalishaji ni China kwao ni ubunifu na utafiti. Kwa hiyo jamaa wa advantage sana na hawabweteki na mafanikio wanaendelea kuboresha kila toleo.
 
Back
Top Bottom