Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Afghanstan
 
.....enzi za kina Tkzee, Mdu Masilela, Arthur Mafokate, Zola7..... huku unakutana na Mapanstula...yaani ni ilikuwa ni full vibe[emoji3]
Dah, Tkzee umenikumbusha mbali sana, Dlala Mapantsula, chanel O wakati huo likipigwa goma la Zola7 - Don't cry.. S.A sijawahi fika ila nitafika tu siku moja
 
Hasa iyo El salvador kuna makundi mawili moja linaitwa MS 13 na 18.yan kila raia anaezaliwa lazma awe kund moja kati ya hao na wana mitaa.
Sasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.

Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Uchawi upo kaka WA kutosha Na chuo cha kusomea kipo
 
Dah, Tkzee umenikumbusha mbali sana, Dlala Mapantsula, chanel O wakati huo likipigwa goma la Zola7 - Don't cry.. S.A sijawahi fika ila nitafika tu siku moja
Nenda siku moja Mkuu. Actually, South Africa ipo Africa by location ile ni Ulaya. Tena ukifika Johannesburg chukua hotel kule New City halafu starehe kafanyie Old City ndio kuna bata za kufa mtu. Ila hakikisha hapo hotelini kwako wamekupa mtu wa kukusindikiza (anayejua mkono) ndio uende Old City. Hapo utafurahia bata za huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…