Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Sasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.

Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
South Africa level nyengine ile mwanagu unajua wakati Michael Jackson anataka kushoot video ya wimbo wa THEY DON’T CARE ABOUT US pale Brazil serikali ilisema haiwezi peleka polisi wake. Kila nchi ina uhuni wake duniani inategemea na eneo tu.
 
Dawa pekee ya uhalifu ni bunduki.
Ni kuwaua wahalifu wote,ukikutwa na bunduki Sali sala zako za mwisho.
Kabla ya kuuwawa upewe mateso utaje kundi lako lote kisha ni kuwatembezea bunduki wote.
Mbona makaburu walikomesha uhalifu hawakucheka na takataka.
Sio kila mtu anatakiwa kuishi duniani wengine yatakiwa warejeshwe kuzimu walipotoka kwa lazima.
China,uarabuni wezi wanapigwa chuma tu ndo maana ukuti ushenzi huo,hata Rwanda tu chakula cha mwizi ni risasi.
 
Wa South Africa ni mafia sana kuzid mexico
Hakuna sehemu SA utafananisha na umafia wa Mexico City wale Wauza sumu wakiamua ipo mitaa hakuna mtu anatoka nje kitu ambacho SA hawajafikia huko na pia SA sehemu yeyote Polisi wanaweza kuvamia na wakatoka salama kitu ambacho Mexico ni ngumu mpaka watumie jeshi...
 
South ni nchi inayoongoza kwa uhalifu AFRICA kaa kwa password
 
Ongea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Wanafanyaia umafia kwa? Makundi Yao ya drugs na sio kwa mtu yeyeto South Africa ndo inaongoza Kwa crime general yaani yeyeto asiye na hatia ni mhanga.
Hzo zingine kama hauna hatia una risk chache ya kushambuliwa
 
Ongea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Mexico sio Nchi ile unakuta karibu watu wengi wamejichora tattoo wao wanazielewa wewe ambae hauna tattoo yeyote unaweza kumuuliza kitu akakuangalia tu au akivurugwa anakuchapa risasi ile ndio Nchi niliona mtu anatumwa dukani anakumbushwa kuchukua na bastola...
 
Kuuana ni kiwango cha juu cha uovu kuliko uchawi wa kulogana! Hata shetani atawashangaa kuacha kuuana alafu mnaanza kulogana! Mambo ya uchawi yako nchi masikini zenyewatu ambao hawajasoma na hawana exposure ya duniani
 
Nadra kukuta kijana wa kisauzi ana ndoto za kuzamia ulaya akafanye nini wakati kila kitu anapata south
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…