Wakawaida sana mjomba usitishike kiivyo,bongo tuna pisi za maana sana.kila mtu ana bunduki hilo ni tatizo kubwa na mambo ya ushoga imekuwa balaa kiufupi siyo sehemu ya kuishi na familia, ni sehemu ya kula bata au biashara tu, ila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe
Mexico Kundi za DRUGS DEALER ndo ishu ila ukiamua kuishi kwa hamsini zako bila kuingilia Anga zao hakuna tabu utapataOngea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Umesoma title ya uzi au unakurupuka?Amezungumzia NCHI iliyoendelea KIUCHUMI na SI SALAMA kuishi
Nchi ulizozitaja haponi MASIKINI wa kutupwa hata TANZANIA tuna afadhari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bondeni kwenyewe ukituliza mshono poa tu,sema ukiwa macho juu utafrahi na roho yako.
Nchi za huko unazoweza kutembelea ni Argentina harafu inafata Brazil ingawaje Brasil nao wana wauza sumu wengi tu huko sijui Colombia,Bolivia,Venezuela na ndugu zake hakuna Nchi hata moja yenye usalama huko...Kuna muda zile nchi za Latin America zitaongozwa na cartels za wahuni ,
Ni kama Ecuador kilichotokea mwezi uliopita
Wale washenzi Ile Latin America kuna kipindi zile serikali zote zitaanguka na itakuwa miliki ya wahuni .
Nadhani USA watapata shida sana maana watazalisha wimbi kubwa mno la wahamiaji watakaokuwa wanakimbia hizo nchi , mfano kinachoendelea sasa hivi kule Haiti na Ecuador ,watu wengi wamezikimbia hizo nchi wanakimbilia Marekani
Kiukweli maisha ya mtaani ya SA siyajui mkuu. Nakuja mara nyingi SA ila nafikia hotelini na kurudi. Nimekuja Capetown mara 4, Pretoria mara 2 na Jobug mara 2 na mara nyingi nafikia hotels zilizoko CBD so maisha hasa ya street sijayui sana.Congo ni cha mtoto kwa South africa wacongo ni vibaka tu lkn South Africa ni wahuni
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Umesoma title ya uzi ilivyo andikwa au unakurupuka?Elewa mantiki ya member kuleta uzi huu
Yeye anaongelea SA kwa sababu ni sehemu ambayo kibongobongo unaweza kwenda kubeti maisha; sasa Haiti na El Salvador kuna wabongo wanakwenda kutafuta maisha huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kweli,nilimcheki yule kipa wa Mamelood nikapata picha Fulani ni mhuni afu mmafia hata wale wenzake.Yaani walivyokua wanatuchukulia Bongo ni kama mtoto wa Dar aende Nanjilinjiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
🚨🚨mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
Unapoambiwa Mexico sio salama jua hivyo mkuu na usidanganywe sijui mitaa ya Wauza unga pekee ile Nchi isikie hivyo hivyo na ina wanawake wazuri nao wanauana sana kwa sababu ya Wanawake muuza Sembe anachukua pisi yeyote anayoitaka tofauti na SA wauza sumu wanauana kwa ajili ya biashara sio Wanawake...Mexco ni kwenye mitaa ya wauza unga, kama wewe sio police na wala sio muuza unga haaana shida na wewe, Sasa South tu mambo ya kuchukuliana wanawake hii ni kosa kubwa.
Mexico Kuna biashara haramu na uhalifu wa kila aina , hao drug cartels wanamiliki territories na wanafanya uhalifu kama utekaji ,ujambazi ,human trafficking ,biashara haramu ya viungo vya binadamu , black mail nkMexico Kundi za DRUGS DEALER ndo ishu ila ukiamua kuishi kwa hamsini zako bila kuingilia Anga zao hakuna tabu utapata
Ila sasa SOUTH kuna VITA aina nyingi sana ambavyo vinaweza kukutoa UHAI wako muda wowote
Ubaya ni wanajeshi tena special force waliofundishwa na USA na Mexico kisha wakaasi na kutengeneza genge lao la kuuza madawa ya kulevyaHao Los zetas ,Kuna documentary niliona walituma mpaka timu ya wauaji Texas na Arizona kuua watu waliokuwa wanataka kuwaua
The impunity and ruthlessness , halafu yanaua vibaya mno
National Geographic walionyesha documentary moja mwaka huu jinsi hao wahuni wanavyofanya money laundering Kwa biashara wanayofanya ya kuingiza madawa ya kulevya Marekani , wanashirikiana na wafanyabishara wachina , yaani madawa yanaingizwa Marekani na hao wahuni halafu yanauzwa pesa cash anapewa mchina halafu hao wahuni wanapata pesa zao kwa network ya wafabiashara wa kichina wanaofanya biashara kwenye nchi la latin America mfano Mexico nkUnapoambiwa Mexico sio salama jua hivyo mkuu na usidanganywe sijui mitaa ya Wauza unga pekee ile Nchi isikie hivyo hivyo na ina wanawake wazuri nao wanauana sana kwa sababu ya Wanawake muuza Sembe anachukua pisi yeyote anayoitaka tofauti na SA wauza sumu wanauana kwa ajili ya biashara sio Wanawake...
Uhalifu upo kiwango cha kitisha.mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
NdioUbaya ni wanajeshi tena special force waliofundishwa na USA na Mexico kisha wakaasi na kutengeneza genge lao la kuuza madawa ya kulevya
siyo kweli mkuukila mtu ana bunduki hilo ni tatizo kubwa na mambo ya ushoga imekuwa balaa kiufupi siyo sehemu ya kuishi na familia, ni sehemu ya kula bata au biashara tu, ila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kila mtu ana bunduki hilo ni tatizo kubwa na mambo ya ushoga imekuwa balaa kiufupi siyo sehemu ya kuishi na familia, ni sehemu ya kula bata au biashara tu, ila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe