Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

Acha chuki ndugu, mara unadai kuwa mchengerwa kapata through nepotism, mara hujui kapataje uwaziri, Dr gani ambaye huwezi kupangilia taarifa yako!!! Au umetumwa? Ne serious brother, acha wivu ambao hauna tija Kwa wenzako.
 
Kwa haraka haraka, hizi ndo sifa kuu za mleta mada hii;
-mshamba (kujaribu kuwadanganya great thinkers wa jf kuwa ndani ya masaa 48 tu akaacha kazi ni uongo wa kishamba huo.......akiendelea hv ataposwa. Ni ushamba Karne hii kufikiri kuwa jamaa wa kiongozi akifanya kazi basi ni nepotism......trump alimpeleka mkwewe white house kutokana na sifa zake. JPM alikuwa na jamaa zake pia serikalini. Ni upumbavu kudhani kuwa flani akiwa Raisi basi jamaa zake wengine wote wasifanye kazi)
-muongo (hakuna daktari kilaza namna hii....madaktari wengi Wana uwezo mkubwa wa kufikiri, kwenye hili wasingekuja na hoja zilizojaa utumbo kama hivi. Huyu si daktari Bali piga debe tu flani stendi ya bukoba huko au simiyu...... angekuwa wa dar angalau angeongea kitu Cha maana)
-mjinga na mpumbavu; yaani mpaka Leo akiwa anaota mvi hajui kuwa waziri wa tamisemi ndiyo bosi wa RCs na DCs?!!!! Bure kabisa (in Kalonzo Misyoka's voice)
-mjivuni asiye na akili,
-mwenye chuki dhidi ya Mchengerwa na Samia,
-ni kiroboto wa Makonda n.k

Tumekupuuza, mada hii ni nzuri tu kwa wale wajinga wachache wamchukiao Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, na Mchengerwa. Tofauti na hapo hakuna Cha kujadili hapa.

Mtazamo wangu kuhusu sakata hili:
Kimhemko wa kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu (and for the bright future) Mchengerwa Yuko sahihi zaidi.
 
Mkuu wote Makonda na Mchengerwa wapo hapo kwa nepotism, hakuna mwenye nafuu.

Sema ukweli, naona nawe una upendeleo unaoupinga!!!
 
Mkuu umefanya uchambuzi muruaaa!!! 🙋‍♂️👍👏🤝🙏
 
Ishu ya barabara za Tarura umezungumza kitu halisia
 
Shida ni moja, Makonda kichwani hamna kitu. Yeye ndiye msimamizi wa serikali mkoani, chini ya usimamizi wake, Muriet haina barabara. Pamoja na hayo yeye anaamini Mwenyekiti wa Mtaa ana fungu la kuitengeneza.

Huo ndio unaitwa upumbavu
Huko muriet ambako hakuna barabara imeenda wapi?
Makonda kaja Arusha muda si mrefu sasa hiyo muriet ni eneo jipya kaanzisha Makonda?
 
Acha kulia lia dogo tatizo siyo mchengerwa Wala makonda tatizo ni mfumo primitive wa utawala wa ccm

Ili tuondokane na mfumo huu tuandike katiba mpya
 
Shida ni moja, Makonda kichwani hamna kitu. Yeye ndiye msimamizi wa serikali mkoani, chini ya usimamizi wake, Muriet haina barabara. Pamoja na hayo yeye anaamini Mwenyekiti wa Mtaa ana fungu la kuitengeneza.

Huo ndio unaitwa upumbavu
Yaani sijui nawaonaje wale wanaao amini Paulo Albert Bashite aka Makonda ni kiongozi bora!
 
Shida ni moja, Makonda kichwani hamna kitu. Yeye ndiye msimamizi wa serikali mkoani, chini ya usimamizi wake, Muriet haina barabara. Pamoja na hayo yeye anaamini Mwenyekiti wa Mtaa ana fungu la kuitengeneza.

Huo ndio unaitwa upumbavu
Naungana na wewe mkuu
 
Ogopa sana watu wanaovaa mapete mengi.
 
Toa ujinga wako na wewe ,kwani Kila kitu lazima Waziri akemee? Hujaona hatua zimechukuliwa na DED wa huko Babati kusimamisha kazi waliohusika?

Huyo Konda wako afuate utaratibu,Wananchi hawawezi kwenda kuwalazimisha viongozi wapite kwenye matope eti hawajaleta Barabara,hao Madiwani Wana hela? Kina Mokonda wenye Serikali si ndio Wapeleke hela Sasa hapo ?
 
Kuchukulia hatua ni jambo moja, wqziri kusimaama na kukemea ili isijirudie tena ni jambo la pili
 
Hii umeiweka vizuri sana mkuu,asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…