Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

Kuchukulia hatua ni jambo moja, wqziri kusimaama na kukemea ili isijirudie tena ni jambo la pili
Kwani Waziri akikemea ndio halijirudii? Toa upuuzi wewe,Ummg alikuwa maarufu wa kukemea hayo mambo vipi yaliacha kujirudia?

Kati ya kukemea bila hatua na kuchukua hatua bila matamko ni kipi kuko effective?

Mwisho ndio maana Waziri amemkemea Konda aache upuuzi
 
RC bosi mabosi zake ni Mawaziri wote.

Ndo maana huwa wanataka maelekezo kupitia ma RC.

Nchenherwa na makonda wote wanafanya KAZI vzr.

Makonda Kuna wakati anaropoka ovyo Hana utulivu.
Kiutendaji, kimamlaka Boss wao ni mmoja tu . Wote ni presidential appointment. Waziri hawezi kumtumbua RC , anachoweza kufanya ni kumsagia kunguni yaani kupeleka umbea
 
Miongozo ifuatishwe
 
Shida ni moja, Makonda kichwani hamna kitu. Yeye ndiye msimamizi wa serikali mkoani, chini ya usimamizi wake, Muriet haina barabara. Pamoja na hayo yeye anaamini Mwenyekiti wa Mtaa ana fungu la kuitengeneza.

Huo ndio unaitwa upumbavu
Una f wa m n ge wewe. Hauna akili wala weledi wa kumkashifu Makonda. Watanzania tunampenda Makonda!
 
Huyo maulid kitenge ana wadhifa gani serikalini? Huwa haachi kutajwatajwa kwenye ishu fulanifulani hivi kama uchawa. Tujuavyo ni mtangazaji wa redio habari za michezo
 
Mkuu wote Makonda na Mchengerwa wapo hapo kwa nepotism, hakuna mwenye nafuu.

Sema ukweli, naona nawe una upendeleo unaoupinga!!!
Sina upendeleo

Kwenye utumishi wa Umma ni conflict of interest kubwa snaa Mchengerwa kuwa waziri. Pitia report za CAG , unadha Samia anaweza kumchukulia hatua Mchengerwa, mwanae akose furaha?

Mkwe wako unampa nafasi kubwa , unadhan kuna kukemeana? Hii ni mbaya na hatuleti picha sahihi kwa vizazi
 
Hii umeiweka vizuri sana mkuu,asante
 

Makonda yuko chini ya Waziri wa TAMISEMI.
RC ni msimamizi wa sera kimkoa na si mtendaji hivyo mtendaji ni Katibu tawala / Mkurugenzi.
Mchengerwa ana wajibu wa kuwasimamia maRC wote wa TZ

Kuwa na siku njema na uelewa mzuri
 
Kuna tofauti gani kati ya siasa na utendaji mbona mis entrprite neno siasa (policy) siasa ni aproch au namna ya kufanya jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…