mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Tatizo unapanda mikweche. Panda ma bus ya maana uone huduma zaoJe, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;
Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.
Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.
Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
Weka hoja yako, utaeleweka tu. Karibu.yani hadi soda nazo ni makapi?
hadi kwenda kukojoa nako huduma ni duni?
we kijana TAFUTA HELA wenzako wametumia mamilioni kuwekeza kwenye hospitality industry halafu wewe unatumia bando la jero kutukana juhudi za wenzio..
Pumbafuck
Haahaa.Kwani braza wewe ulipanda basi usafiri au ulipanda basi ukale chips?
Soma vema bandiko mkuu. Karibu.Tatizo unapanda mikweche. Panda ma bus ya maana uone huduma zao
Wenzako wanalipwa kupeleka wateja hapo ambao ni nyie abiria na huduma zengine wanapata Bure wakiwa kwenye hizo hotelJe, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;
Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.
Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.
Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
kwan hawawezi kupata izo kamisheni bila kuwaumiza abiria?Wenzako wanalipwa kupeleka wateja hapo ambao ni nyie abiria na huduma zengine wanapata Bure wakiwa kwenye hizo hotel
wakuu, hapa yanaongelewa mabasi ya umma haya ya kwenda mikoani.Inategemea unapanda bus Aina gani huwezi kulipa nauli 45000 kufika Arusha then ukapelekwa hotel uchwara