Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

Mimi na wife tuliandaa chips nyingi tu tulipofika kwenye basi asante rabi tukapewa chai ya maziwa milo tukajikuta tumeunga na zile chipsi ikanidi singida tununue chakula tena sijui wengine mnawezaje hii
 
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;

Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini kimsingi unakula makapi! Chipsi na zile nyama choma haviivi inavyotakiwa.

Mazingira mazima hasa chooni machafu na yasiyoridhisha.

Hapa shida ni nini wakuu? Maana siamini kama hakuna wawekezaji wanaoweza kuweka mzigo huko na kutoa huduma ya kueleweka.
Jana nilitoka safari yangu kutoka Dodoma na Bus la Shabiby tulipofika Morogoro tulipelekwa kula kwenye hotel mbovu sana, vyakula hivyo kabisa, hivyo vyoo ni vichafu sana mimi na Abiria mwenzangu tukahoji lakini hawakuwa na majibu ya kutosha

Nilichogindua dereva na wahudumu wa bus wanapata chakula bure pale.

Mbona Bus za ABC wanahotel nzuri tu, shabby ameshindwa je?
 
Kiukweli kabisaaa nnaposafiri nakua na kopo langu kuuuubwa la maji lakin kilichomo mule sio maji ,huku Nina mapipi kifua meeengi ,bila kusahau EarPods. kinachotokea ni kuenjoy safari tuuh,
MAANA HATA NIKIKAA NA PISI KALI SINA MUDA NAYO🤣
 
Yani hadi soda nazo ni makapi?

Hadi kwenda kukojoa nako huduma ni duni?

We kijana TAFUTA HELA wenzako wametumia mamilioni kuwekeza kwenye hospitality industry halafu wewe unatumia bando la jero kutukana juhudi za wenzio..
sio kila mada lzm uchangie , kuna umuhimu gan ww kuuza chips elf 3 wkt sehem husika viaz ni bei chini kuliko dar , ukiwq mjinga utastuka shida ikiwa mlangon
 
Pale korogwe kuna chimbo fulani lina nyama choma ya mbuzi Kali za Kila aina sijui linaitwaje ndani kuna baa pia. Zile nyama ni habari nyingine nazikubali sana....
 
Mimi na wife tuliandaa chips nyingi tu tulipofika kwenye basi asante rabi tukapewa chai ya maziwa milo tukajikuta tumeunga na zile chipsi ikanidi singida tununue chakula tena sijui wengine mnawezaje hii
Wewe na mkeo mlikuwa na kazi ya kula safari nzima?
 
sio kila mada lzm uchangie , kuna umuhimu gan ww kuuza chips elf 3 wkt sehem husika viaz ni bei chini kuliko dar , ukiwq mjinga utastuka shida ikiwa mlangon
au sio!
hujaona sambusa inauzwa elfu 5 kule 5 star hotel halafu ukisogea sinza unauziwa mia tano..
 
Back
Top Bottom