So mwanamke anatakiwa awe white while mwanaume anatakiwa awe black?Akili za black descendants ni changamotoSio watz tu ni issue ya dunia nzima, Kuna siku nilikuwa naangalia interviews za video vixens wa Nigeria ambao ni weusi, wakiongelea wanavyobaguliwa kupewa leading role kwenye videos za wasanii kwa sababu tu ngozi zao haziwaki vizuri kwenyw camera. Na hii issue hata ukifuatilia bongo ipo pia
Ahh wapi ni kujizima data tu kwa ajili ya maslahi ila pesa haiondoi uhalisia wa mtu mbele ya macho yako, kama ni mfupi ni mfupi tu, akiwa mweupe ni mweupe tu, kwa upendo unaweza kuridhika ila kwa ajili ya pesa unakuwa unavumilia tuππKabisaaa!heshima sana like neno "Tafuta Hela"
Aiseee,,,hao hao watoto wakiume tunaowapenda wakiwa watoto wakifika ukubwani jamii inaanza kuwabeza kwamba wamepoa??na wale waliobezwa na kufichwa utotoni mwao wanaanza kutukuzwa?jamii inabidi ichange huu upuuzi aiseeeeKiufupi hii nchi yetu inaonekana Mtu akizaa watoto weupe anaona ufahari Sana hasa wanawake .
Wanawake weusi hawapendi kuzaa watoto weusi
Hapo jibu ni illusion ndo inafanya kazi
So mwanamke anatakiwa awe white while mwanaume anatakiwa awe black?Akili za black descendants ni changamoto
Warefu kibao wana nyanya na bamia..Size matters a lot.
wafupi hamuwez kukwangua makoko aliyoimba ZUCHU
Sijawahi elewa hype ya weupe inatokana na niniBinafsi Mimi navutiwa na Mwanamke mweupe na natamani kuzaa watoto weupe hii rangi ni rangi Bora Sana , Mwanamke akiwa mweupe vijana tunamuwinda Sana ..
Pia wanawake wa bongo wanawapenda Sana wanaume weupe sema kuwapata ndo issue so inabaki ile sizitaki mbichi hizi
Hata Mimi sielewagi hii rangi inapendwa Sana kila kijana anapambana kuoa rangi hii that way dada zetu wanajichubua ili kutupata kirahisiSijawahi elewa hype ya weupe inatokana na nini
uliniona wapi 77Kuna haoo wakaka niliwaona Jana...Nyie kweli Mungu fundi...
[emoji23][emoji23]Wanaume weupe ni warembo
We unaonaje mkuu? Yupo sahihi?π€£π€£π€£ mkuu niaje, ila wanawake baadhi huwa wanasema wanaume wafupi huwa na gubu kwa sababu ya insecurities, hata ukikosewa huchukulii kama ni kosa la kawaida ila dharau kwa kimo chako.
Nadhani ni mindset tu tulivyoziweka, wanawake weusi wapo vizuri sanaaaHata Mimi sielewagi hii rangi inapendwa Sana kila kijana anapambana kuoa rangi hii that way dada zetu wanajichubua ili kutupata kirahisi
Humu Kwa sababu hatujuani watu wanasema tu Kwa keyboard ila kwa real life mambo ni tofauti wanamdate yeyote, humu wanasema venye wana-wishUrefu na ufupi,weupe na weusi sio kipaumbele kwangu.......Ana akili TIMAMU?....TIMAMU jamani anazooo????
Oooooh Isije huko mbele ukamuona ni Goliath yanapoanza mambo ya kutumia akili.
UNABISHANA NA WANAWAKE MKUU?Warefu kibao wana nyanya na bamia..
Linah aiseeππnahitajikaa wapi tenaaa πππ
β₯οΈπNadhani ni mindset tu tulivyoziweka, wanawake weusi wapo vizuri sanaaa