Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.

Beta vibes. You's a better man than I.
 
Wameathirika na movies za black Americans maana ukiangalia casts zao huwa ni za type hizo haswa kwenye series za Tyler Perry.
Kuna namna movies, music videos na showbiz kiujumla huwa zinacontrol akili za watu, mfano enzi hizo K lyn na Ray C wanatamba, huko mbele english figures kama J lo na Aliyaah ndo zilikuwa kwenye market, lakini leo tupo kwenye makalio. Kwa hiyo ni upepo tu kwa kiasi kikubwa utapita
Ila kwenye makalio tumedumu sana.makalio yana kitu
 
Manabii wengi waliferishwa na WAnawake kwenye huduma zao,,,,,,Hawa WAnawake Hawa kama Kuna mtu anae jua wanachoitaji aniambie nijue namimi,,,,,nimama zetu ni dada zetu tunashindwa kusema sana
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww fala xnaaa ila una akiliii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.

Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.

Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
ila haya yote wanayoyatafuta ndio hubaki kuwa single mothers at the end.
 
Umeonaaa eeeh...yaan Mimi niliowaonaa hao vijana warefuu Wanaweusi wa kun'gara..ndevu zilipangangika vizuri,mwili uliojengekaa kiumee kbsaaa...mavazi mazuri ya kistaharabuu kbsaaa plus viatu vizuri ngozi original kbsaaa iliyokaaa vema miguuni mwaoo..unawezaa ukaimagine mpk hapooo...macho mazuri na angavuu nyiee kweli Mungu fundiii😅😅😅😅
Hii movie gani uliangalia 🤣🤣
 
Ulituona wapi mrembo?
 
Urefu na ufupi,weupe na weusi sio kipaumbele kwangu.......Ana akili TIMAMU?....TIMAMU jamani anazooo????
Oooooh Isije huko mbele ukamuona ni Goliath yanapoanza mambo ya kutumia akili.
Uko sahihi J, halafu hao wanaosema wanaume warefu eti wana mizigo kunako boksa sio kweli kuna mkaka ni mrefu sana anaweza kumzidi yule mabangi wa clouds anaewapigaga wenzie ila ndg ni ana kibamia pro max km kidole cha kati yani kidudu km cha mtoto wa darasa la tano
 
Eeeh usiniambie alikukula nacho hicho kidude chake kama kidole cha kati?
 
Back
Top Bottom