Du nyama zipo lakini mm nimekimbilia Babylon, maana kote vurugu tupu vuluvulu, watu wanakidai na magari ya kila aina na No. mpya tupu hata za Kenya
Km nyama hata Kilacha Himo kwa masister wa Roma ipo kuku, nyama za mtoni leo zimekwisha mapema
Ng'ombe waliopo wanasubiria mwaka mpya (2013)
gfsonwin mwambie Asprin shikamoo haisaidii huku kwa Wachagga siku utakapogombea Ubunge Jimbo la Hai atakupa Shikamoo Mheshimiwa Mwalimu A.
Kumbe umeanza fomu wani mwaka 1996? Haya nipe shkamoo yangu.
Mkuu Asprin tujipange tuonane bro!......mengine yote ni ziadaaaaah!Shikamoo kaka.Nilikuambia naomba uraia huko....Nataka kununua..
Watachonga sana juu yetu. Mi najitafunia ulabu wangu hapa Mamsera.
Proud to a a chaggian!
Mtoa mada hakika umefunguka yalo moyoni,kwa niaba ya wachaga wenzangu karibu sana moshi
Mkuu tukiondoka pia kuna baadhi ya ofisi tunafunga....Acha waende bwana, tukae kwa raha zetu. Folen itapngua ana, Ukitaka kwenda posta 10min inatosha
Mkuu tukiondoka pia kuna baadhi ya ofisi tunafunga....
halafu foleni huwa zinapungua dar........wachaga wengi ndio wamiliki wa magari daslama
ndio ninachokipenda...nusu saa tu natumia toka kujijini kwangu kisarawe mpaka mjini...