Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

images

Du nyama zipo lakini mm nimekimbilia Babylon, maana kote vurugu tupu vuluvulu, watu wanakidai na magari ya kila aina na No. mpya tupu hata za Kenya
Km nyama hata Kilacha Himo kwa masister wa Roma ipo kuku, nyama za mtoni leo zimekwisha mapema
Ng'ombe waliopo wanasubiria mwaka mpya (2013)

gfsonwin mwambie Asprin shikamoo haisaidii huku kwa Wachagga siku utakapogombea Ubunge Jimbo la Hai atakupa Shikamoo Mheshimiwa Mwalimu A.

huyu hanipati hata kidogo anajua. manake yy wakati huo alikuwa anakunywa mataputapu Ubwe sekondari lol!
umenikumbusha kwa akina MBOYA hapo babylon.
 
ngachihiyo... hedikota unavuka mto unakuta kirefure..sembeti na lyamrakana..ni gorofa na quality houses zmejificha katikati ya migomba..safi
 
Ndugu Zangu.

Nina watakia kila la kheri katika the great migration to Moshi/Rombo katika kipindi hiki.
Ushauri ninaowapa mjaribu kutafuta Madereva wakuwasaidia katika safari hizi ndefu. Kuendesha gari Highway ni tofauti kabisa na kuondesha from Mbezi to Posta.

Mimi nitakua nanyinyi katika Sala.

Ninaomba kama kuna mtu yeyote ana Usahauri kwa hawa wenzetu wanakuwa na great migration during December and january awasaidie.

Halafu Mabasi huwa yanaongezaga mwendo ili yageize tupu kuwahi abiria wa siku inayofuata. msikubali muwasiliane na vyombo vya usalama.
 
Msimu wa kwenda kuungana na ndugu na jamaa huu...nadhani ni utaratibu mzuri sana ambao sote tungepaswa kuuiga....binafsi na-admire sana huu utaratibu wao... Wish them th best of Xmass season
 
mi ombi langu, mjitahidi kumuacha mtu wa kuuza japo duka, maana mnatusababishiaga usumbufu mkubwa mnapofunga maduka bana.
 
halafu foleni huwa zinapungua dar........wachaga wengi ndio wamiliki wa magari daslama
 
Kwa niaba ya wachaga wa kukodi kama mimi, ahsanteni sana kwa wishes zenu njema..... Sasa Moshi Arusha wing mtuambie krismas mtakuwa wapi tuungane pamoja..... itakuwa safi sana.


AM BACK
 
Acha waende bwana, tukae kwa raha zetu. Folen itapngua ana, Ukitaka kwenda posta 10min inatosha
 
Back
Top Bottom