Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Inategemea, ila kama wote ni 35+ na mnajielewa hakuna shida; mfano wengine tulishaoa, ila tunahitaji kampani tu iliyo active katika kusongesha haya maisha, kama mtakutana wote ni watu wazima na mnajielewa kunakuwa hakuna shida.
 
Dogo, shule zina funguliwa lini mrudi shuleni??
Acha kuiba simu ya Mama yako, na Kuanzisha uzi
 
Inategemea, ila kama wote ni 35+ na mnajielewa hakuna shida; mfano wengine tulishaoa, ila tunahitaji kampani tu iliyo active katika kusongesha haya maisha, kama mtakutana wote ni watu wazima na mnajielewa kunakuwa hakuna shida.
Kweli kuna mahusiano mengine yaani mnajuana tu hapa hakuna ndoa mara nyingi haya mnaachana kimjinimjini mkikumbukana mnapasha kiporo
 
Shida watu tunafanya tendo la ndoa wkt hatupo kwenye ndoa. Kama tendo Ili lingesubiri mpk ndoa ingemake sense. Otherwise watu watakula tu na kupita Kule. Maana tumeharibu uhalisia wa tendo la ndoa.
Hakuna binadamu anaweza kuzuia hormone. Hormone ndo zinacontrol maisha ya binadamu na ndo zinakuendesha uvutiwe na mwanamke.....

Labda ukatwe pumbu afu ukiingia kwenye ndoa ushonewe tena[emoji23]
 
Vipi usiku wote huu umemwagiwa ukachukiwa?
 
Amekojozwa mtu akaachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…