Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuambia mate yana virus nan mpaka unywe litr 5Kinga kwangu noo,kwani mie napenda sana kubadilishana mate.... tutakuwa tumezuia nn
Njoo uchukue dawaYamenikolea balaa
Unauwezo wa kukaa siku ngapi BIla kulanaNi kweli kabisa dear
Dogo, shule zina funguliwa lini mrudi shuleni??Kama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.
Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.
Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Mimi pia napiga chafya hatariYamenikolea balaa
Kweli kuna mahusiano mengine yaani mnajuana tu hapa hakuna ndoa mara nyingi haya mnaachana kimjinimjini mkikumbukana mnapasha kiporoInategemea, ila kama wote ni 35+ na mnajielewa hakuna shida; mfano wengine tulishaoa, ila tunahitaji kampani tu iliyo active katika kusongesha haya maisha, kama mtakutana wote ni watu wazima na mnajielewa kunakuwa hakuna shida.
Hakuna binadamu anaweza kuzuia hormone. Hormone ndo zinacontrol maisha ya binadamu na ndo zinakuendesha uvutiwe na mwanamke.....Shida watu tunafanya tendo la ndoa wkt hatupo kwenye ndoa. Kama tendo Ili lingesubiri mpk ndoa ingemake sense. Otherwise watu watakula tu na kupita Kule. Maana tumeharibu uhalisia wa tendo la ndoa.
Vipi usiku wote huu umemwagiwa ukachukiwa?Kama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.
Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.
Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Amekojozwa mtu akaachwaKama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.
Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.
Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!