Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Namba,miezi, na siku hazina maana yoyote bali mwanadamu ndio America maana na kuzi name.ni kama unavyo zaa mtoto na ukaamua umuite jina x ba siyo y just utambulisho but hakuna maana yoyote hivyo hivyo kwenye numbers.
Your perception or your thinking capacity don't legalize it to be the objective and the facts.
Listen what we know is only one millionth of the millimeter and what we don't is 1000 trillion light years of the universe.
Why siku iwe na saa 24= 2+4=6
Days iwe na saa 12= 1+2= 3 na pale Nikola anadai ukishajua Siri ya 3,6, and 9 utakuwa na ufunguo wa ulimwengu.
Why Kuna nyota kuwa ukizaliwa siku fulani na miezi Tabia zako zinakuwa ivi ama vile.
Kuna majira manne kwa mwaka.
Hii namba inazungumziwa mpaka kwa maandiko ambayo Ni 666 sijasema kuwa Ni Freemason.
Ila uelewe Kuna siku na saa maalumu ya kufanya kila tukio na unafanikiwa mkuu.
Why watu wasome madarasa 12= 1+2=3
Hapa duniani nothing happens by coincidence even our life both ups and downs.
na Nikola anadai pamoja na Einstein kuwa everything is the energy.
We're just mass, frequency and vibration.
Unajua kuna frequency Hertz ya namba fulani mgonjwa akipigiwa muda ivi anapona ,Kuna frequency therapy,
Why music inatugusa binadamu wote kama sukari ilivyo tamu kwaa ndimi za binadamu wote bila kujali your location,race, religion and tribe.
 
Dunia inazunguka jua kwa miezi 12 muda huo huo inazunguka mhimili wake kwa muda wa masaa 24
 
You too damn mad! Ndo dunia uliyoikuta no need to question just let it go
 
Hapa umemaliza. Wanatakiwa wahesabu baada ya LMP na kuingia kwa mimba. wao wanfuata makadi ya Clinic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…