30 na 31 zote umezizidisha kwa 9,which means majibu yake yanagawanyika kwa 9Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9
Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?
View attachment 2899279
Uhalisia ni kwamba unaweza kuungaunga chochote kuhusu namba ili kutimiza ndoto yako ya kuona unachotaka kuona kuhusu hizo namba.Haha haya bhna
"Umeshinda bhna"
Anywei ulipo cite Tu "Aristote Law's of contradiction"
Unatafuta njia ya kukimbia Uhalisia 😀😀😀
Bado umejifungia kwenye hoja yako bila kuwaza mje ya box? Unaona wanaojua kudadavua mambo wanavyo tiririka?Mkuu kama umefika miaka 18, am sorry kwa kizazi chako,
Kama bado hujafika miaka 18, usijali mtoto, hio ni kazi ya freemason ,😂😂😂
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9
Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?
View attachment 2899279
Yani mtu anaweza kukuambia "this is magic".30 na 31 zote umezizidisha kwa 9,which means majibu yake yanagawanyika kwa 9
Number yoyote inayogawanyika kwa 9, jumla ya tarakimu zake Ni 9.
Mungu muweza yote hayupo.Hayo ni maamuzi tu ya Mungu (MUWEZA WA YOTE), wala huna haja ya kuyatengenezea hadithi
Labda kama utatujulisha pia kwa nini kuna
Miezi 12 katika mwaka
kuna miezi yenye siku 29/30/31
wiki iwe na siku saba
Mbona kuna usiku na mchana
Kuku ana angua siku 21,
Tembo anazaa miezi 22
nk nk nk
Mkuu Hili swali Lako mbona halina hata Logic..Uhalisia ni kwamba unaweza kuungaunga chochote kuhusu namba ili kutimiza ndoto yako ya kuona unachotaka kuona kuhusu hizo namba.
Na mara nyingi ndicho mnachofanya katika arbitrary numerology zenu za kuungaunga.
Literary kuungaunga, as in 8+1 =9.
Why 8 + 1 and not 8-1?
Hujui pi ni nini mkuu?Mkuu Hili swali Lako mbona halina hata Logic..
YAani ni sawa na wewe nikuulize kwanunu Pi ya 22/7 iwe 3.14 na Isiwe 29
Yaani kwanini wagawanye 22÷7 na wasijumlishe 22+7..
Unmathematical arguments
Maswali yako huwa yananichekesha Sana Pale unapoona Huwez kujibu Swali lililouliza..Hujui pi ni nini mkuu?
Swali lako linanifanya nione kama huelewi pi ni nini.
Namba imetengenezwa?PIa Mtu wa numerology anaweza akauliza hivyo hivyo kuwa hujui kuwa Namba imetengenezwa ikiwa single digit "Accoding to Pythagoras" mwenyewe..
So mkuu Hilo swali Ni jepesi tu na majibu yake ni Inconclusive arguments na hatuwezi kupata majibu kwa sababu vitu vyote viko from ancestry History na viko na prove ya kufanya kazi scientifically..
Tulia tu Mkuu jifunzeMkuu Hili swali Lako mbona halina hata Logic..
YAani ni sawa na wewe nikuulize kwanunu Pi ya 22/7 iwe 3.14 na Isiwe 29
Yaani kwanini wagawanye 22÷7 na wasijumlishe 22+7..
Unmathematical arguments
So unataka kusema namba haijatengenezwa 😀😀Namba imetengenezwa?
Unajua argument ya "according to Pythagoras mwenyewe" is a logical fallacy, argument from authority. Unaelewa hilo?
Unajua jibu la "vitu vyote vipo from ancenstry history" ni logical fallacy, argument from tradition?
Hiyo arbitrary numerology ndiyo iko proven scientifically? How is something arbitrary scientific?
Bado hujajibu kwa nini 8 + 1, na si 8 - 1.
Msaidie tu kuwa universe ni namba.So unataka kusema namba haijatengenezwa 😀😀
Nikukumbushe kitu..
among the oldest known languages, dating back to around 3000 BCE zipo Aramaic as oldest Semitic languages na pia kuna Greek ,Sumerian, Akkadian, and Egyptian..
Baadae kwenye miaka ya 1300 BCE, Ndo tunapata Lugha kama Hebrew na Arabic..
Wakati huo english haipo kabisa Hakukuwa na Namba..Walitumia herufi zao kwa utambuzi wa kihesabu kama Hebrew na aramaic Aleph ilikuwa Moja na Bet ilikuwa 2 nakuendelea..
Unaita Logical fallacy Really?
Hakuna science bila history and doccumentation?
History and doccuments Preserve the ideas or Theory which baadae zinakuja kuwa Proved kama Facts au Experimental correct..
Ntazungumzia kitu kimoja tu Electromagnetism na magnetism..
Haya majembe hapa chini ndo yalifanya Kugundulika kwake na yote yalikuta history za newtons na wenzake huko wakaanza kuzifanyia kazi na kila alipofanya aliacha docc..
Hans Christian Ørsted (Discovered the connection between electricity and magnetism, 1820) Ila baadae akaja jembe André-Marie Ampère (Formulated Ampère's Law, early 1820s) Ukiachama na huyu muhuni ambaye anafahamuka sana Michael Faraday (Discovered electromagnetic induction, early 1830s) na mwisho alikuwa James Clerk Maxwell (Unified electromagnetic theory with Maxwell's equations, 1860s..
science is made with theory and observative equation au experiments..
Huwezi kukataa kuwa science haiongozwi na history mkuu!..
Nilikuwa naichukia history kipindi nasoma sana Na nilipataga "C" peke yake O Level maana Nilkuwa Siipendi lakini haiwi kigezo cha kusema Kuwa Sio chanzo cha experiment na thoey
Hakuna Cha Kujifunza hapo Mkuu!Tulia tu Mkuu jifunze
Hiyo nilishamwambia arguments za mwanzo kabisa ndo tukafika mpaka huku Maana amekataa anasema number sio special na wala hazina maana yoyoteMsaidie tu kuwa universe ni namba.
Hivi unaelewa hata namba ni nini?So unataka kusema namba haijatengenezwa 😀😀