Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

Hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuwa wakaili hapo pamoja na kusomea sheria lakini ni watupu wanaitumia kujinufaisha wenyewe binafsi.
 
Kama lundo lotehilo wanasheria ,Je dp world ilikuwaje wasiielewe
 
Kama kweli hao aliowataja ni wanasheria basi Tanzania tuna hali mbaya sana kielimu. Mbona vichwani kwao ni kweupe pee kama std 7?
Sheria zamani tulipokuwa tunasoma walikuwa watu wenye alam C katika average, Kwa maana hiyo ndiyo wenye IQ ya chini katika ranking, sijui Kwa siku hizi lakini
 
Huyo nae hajitambui nahisi ni chawa pro max
 
Halafu anaona ameandika kitu cha maana kumbe upumbavu mtupu, eti wanasheria?,labda wanasheria wa kutetea matumbo yao
 
Hao wamesoma digrii ya Sheria, hawatambuliki kama mawakili isipokuwa watatu tu Dr Tulia, Ridhiwani na Ndumbalo
 
Hao wamesoma digrii ya Sheria, hawatambuliki kama mawakili isipokuwa watatu tu Dr Tulia, Ridhiwani na Ndumbalo
Upo sahihi, hii ni hoja: Lakini walau wana elimu hata kama research walifanyiwa na watu na hata kama walifanyiwa research walau wana uwezo wa kuongea.
 
Aisee kwa hiyo itakuwaje sasa
 
Hao wate ukiwajumlisha ni sawa na robo tu ya uwezo katika mambo ya kisheria wa mh lissu, taifa lilipofika tuitaji Mh lissu au wa aina yake kutuvusha, hakuna miujiza
Mh Lissu ndie ajaye asema Bwana na ilisha kuwa
 
Iko hivi, kama nimekosea niko tayari kusahihishwa.

1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
 
jerry slaa aliweka mkeka wake na kweli amekula
 
Hao ni wanasheria vyeti, wangekuwa wanasheria kweli wenye uwezo tungewaona kwenye mahakama za kimataifa wakiitetea nchi.
 
Hivi Jafo yupo wizara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…