Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

Hao ni wanasheria vyeti, wangekuwa wanasheria kweli wenye uwezo tungewaona kwenye mahakama za kimataifa wakiitetea nchi.

Kwanini usiitetee wewe?
 
Kama umesoma sheria na huja practice sheria (underline practice sheria), wewe bado ni mbumbumbu (layperson) tu.

Wote uliowaweka hapo ni watupu kwenye hii fani
 
Anaweza kuwa Ni hafifu wa Sheria na ana madili yake ikiwemo DP World na misitu na mbuga
 
Sasa kama watoto wanafeli hesabu, physics,kemia na biology shuleni unategemea nini.

Unategemea maendeleo kwenye taifa la wahasibu, wanasheria nk.

Ukiona nchi yeyote Science sio dili tambua tu hilo Taifa ni la consumers hakuna watu productive.
 
Alafu wanamsaidia nin.. wakati nchi inaendelea kupigwa.?
 
Hakuna mwanasheria hata mmoja hapo. Wote hao wana makaratasi yanayowatambulisha kuwa wanasheria lkn vichwani mwao hawana tofauti na barmaid wa Kona bar .
 
Hawa hawa wa dp world?

Tuone km uteuzi huu utazima mjadala wa bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…