Hii ndio point ya msingi zaidiPure introvert ni Sagittarius makundi nyota mengine ndio wanafata.
Sifa ya introvert Moja wapo niukimya na hekima kubwa sana.
Introvert wachache sana wenye kupokea sifa na tuzo mbali mbali kutoka kwa jamii.
Amini kwamba kila alipo mtu maarufu sana nyuma yake Kuna introvert huwezi jua.
Siri na Siri mzito zipo mioyoni mwa introvert.
Amefunga uzi hapo hakuna kingine cha kuongezeaNadhani Tuishie Hapa....
Introverts wazalendo watakuambia ukapime usonji.Yah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvert
Furaha YANGU!!!Kwasababu furaha yako unaipata ukiwa mwenyewe
Burden kwasababu Mimi mtu akinikuta mahali akaniongelesha zaidi ya dakika Tano hasira zinaanza kupanda.Wengine wanadhania ni sifa.
Its a burden and a blessing too
Wewe sio introvet! una matatizo yako binafsiKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
Yeah you should embrace itBurden kwasababu Mimi mtu akinikuta mahali akaniongelesha zaidi ya dakika Tano hasira zinaanza kupanda.
Hasira zinapanda mpaka nasikia kiungulia. Akiondoka nafurahi sana.
Sitaki mazoea, sisalimii au kumsemesha MTU kama hamna ulazima.
It's a burden but I can not go back. Too late.
View attachment 3342951
Scientificaly na current statistics, introvents wengi wako group A and AB . Sababu ya shyness nature sometimes wanaweza kuwa outgoi no or notKwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.
Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix.
Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.
Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones
Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)
Mtu mwenye usonji anaweza kuwa introvert au Extrovert ,usonji ni hali ya kiafya na introvert ni hali ya kiasili tu.Mkuu nahisi una usonji, kwa bahati mbaya Tanzania tatizo hili bado lina awareness ndogo, watu wengi wenye usonji hudhani ni introverts
Ukiwa na usonji unaweza kukosea kujiita introvert, kwa sababu wote wawili mnaweza kukwepa sherehe. Lakini mtu mwenye usonji anaweza kuchukia sherehe kwa sababu ni zenye kelele, hazitabiriki, na zimejaa watu, ilhali introvert anaweza kuchukia sherehe kwa sababu angependelea kuwa nyumbani peke yake.
Kwahiyo unaona hii kitu ni SAWA kabisa!?introvert anaweza kuchukia sherehe kwa sababu angependelea kuwa nyumbani peke yake.
Mostly ya wanasayansi wakubwa dunia (Genius) ni Introvent na hamna uhusiano wowote wa Usonji na Introvent. Sio hivyo asilimia sabini ya Gifted people ni Introvent.Introverts wazalendo watakuambia ukapime usonji.
Hatari sana, mimi kipindi bado bwana mdogo sana, nilikuwa proud sana na hii hali, nilikuwa najiona niko sawa sana.
Ila umri unavyozidi kusogea ndio macho yanafunguka na kuanza kutambua kuwa WE Introverts are the worse version of human beings.
Kwa maelezo ya mleta mada, seems wale wapiga shoo kwenye vigodoro haiwezekani pakawa na introvert hata mmoja?Ni ngumu kumkuta introverts kwenye makundi waswahili wanaompigia debe chura kiziwi
That cup is for us not youKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
Naona mmeanza kuja na definition zenu binafsi za introvert.Pure introvert sio hali yakuwashangaza watu kuhusu wewe.
Bali ni hali yakuwatambua wengine kiundani sana kuliko wao wanavyo kutambua wewe.
Hivyo hupati tabu kuishi nakila jamii yawatu.
Ikiwa kinyume na hivyo nimatatizo binafsi ya mtu.
Mental problem.
You must be stupidNina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Okay...and who are YOU!?That cup is for us not you
SijakuelewaFuraha YANGU!!!
YANGU!!!
YANGU!!!
YANGU!!!
Tafakari kwanini nimeandika yangu mara nyingi, tena kwa herufi kubwa, then utaelewa kwanini nakuambia Introverts tuna shida.
Character zote za introvert ninazo. Nipo ofisini wenzangu wamekwenda lunch. Mimi nimejitenga nao kimyaa naperuse mitandao.Okay...and who are YOU!?