Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kwahiyo hapa jukwaani asilimia kubwa nyie ni maintrovert, sio?

Naweza kupata picha sasa nikirelate na wale wa kwenye jukwaa lile la siasa...😅😅.

Mnaandika huku mkiwa mmejifungia zenu ndani tu...
 
Mkuu una Changamoto za kisaikolojia Kama Anxiety n.k na sio introvert.

Introvert wanaongea vizuri tu hawana uwoga na huwa wanajichanganya pale inapobidi .

Sioni muungano wa changamoto zako na kuwa introvert.
 
Mkuu una Changamoto za kisaikolojia Kama Anxiety n.k na sio introvert.

Introvert wanaongea vizuri tu hawana uwoga na huwa wanajichanganya pale inapobidi .

Sioni muungano wa changamoto zako na kuwa introvert.
Upo sahihi mkuu... Nadhani watu wanachanganya haya mambo
 
Unakua introverts halafu huna akili n sawa na kutembea huku umekufa
Sikutaka kuzungumzia upande huu.
Au unakuwa introvert halafu unatokea familia masikini, shule hauna, you are an introvert hivyo hata connections hauna...madafaka, you are doomed!!!
 
Watu wakiwa kwenye kikao wapo busy Mimi nawaza maisha labda ya gaza yakoje. Kiakili na kiroho najikuta Niko mitaa ya Gaza strip napiga story na watu na kadhalika.
Mkongwe, wewe ulitakuwa kuwa budha kwenye matempo China huko.
Hapa Bongo bahati mbaya tu.
😂😂😂
Huwa unafanya meditation mkongwe!?
 
Mimi nimekosa Fursa nyingi sana kuwa introvert.
Najuta sana.
But I have to embrace it. Na watoto wangu mmoja naona kabisa amefuata. Hataki kuchanganyika kabisa.
Acha kujiAttach na hizi identity ulizokutana nazo ukubwani na kuanza kujitambulisha nazo, zinakufanya uwe dhaifu, usijikubali, ujione una matatizo.

Fanya kinyume na hizo taarifa ulizopokea, changamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…