Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Bora umemfafanulia vizuri. Wengine hawajui kuwa hata WARREN BUFFETT, BILL GATES, BARACK OBAMA, ELON MUSK pia ni INTROVERT.
 
Kuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.
Kila kitu kina faida na hasara zake, kuwa Introvert kunaweza kukuletea hasara kubwa kuliko faida.
Tangu lini uintrovert umegeuka ugonjwa? Hizi taarifa mmezitoa wapi? Mbona google imerahisisha upatikanaji wa habari lakini?
 
Sahihi kabisa!
 
Introvert Yuko busy mitandaoni 24/7 unachat mpaka unakua mwendawazim halaf unajiita introvert Hawa watu hawaitaj internet wao Wana hobbies zingine ambazo hazichangaman na watu Kwa namna yoyote vile
 
Introvert Yuko busy mitandaoni 24/7 unachat mpaka unakua mwendawazim halaf unajiita introvert Hawa watu hawaitaj internet wao Wana hobbies zingine ambazo hazichangaman na watu Kwa namna yoyote vile
Usichokijua ni kwamba introverts ndio watu wako busy sana mtandaoni. Kuchat, kuperuzi na ujinga mwingine unaoweza kufanyika mtandaoni, introverts ndio vinara.
Kwanini? Mtandaoni ndio sehemu pekee wanakuwa comfortable.

Introverts wana hobbies zingine!?
Sio kweli, introverts wana hobbies zinazofanana na binadamu wengine. Ila vile tu wanapenda kufanya hizo hobbies wakiwa peke yao, because they are not comfortable around people.
 
Kila mtu na jinsi alivyoumbwa ndio maana kuna waongeaji na kuna wakimya watu wote wangefanana tabia dunia isingekuwa sehemu salama.Pia introverts wengi wanaongoza kwaa ugunduzi sababu muda mwingi wanatumia peke yao kufikiri,introverts ndio asilimia kubwa ya wanaochart mtandaoni sababu ndipo wanakuwa comfortable kuongea kuliko mbele za watu.Introvent wanajiepusha na shida nyingi kwa kuwa selective sana na watu wa kudeal nao
 
Usisahau hii!!!
SERIAL KILLERS wengi ni introverts!
 
Uwepo wako unaweza kuwa kero pia, onekana inapobidi ila sio muda wote kama hewa.
Kuna WATU na watu, WATU wanahitaji uwepo wako kama hewa.

Hivi unajua kama introverts ni bullies magnet!?
Ukiwa na mtoto introvert inabidi umfuatilie kwa makini sana.
 
Dah bora umemuelewesha
Maana kila mtu akisema yeye ni Introvert anamwambia una usonji. Yani ni kama inawauma watu kuwa Introverts
Anapaswa aelewe sisi kama binadamu kamwe hatuwezi fanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…