Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Nina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Sasa si bora wewe anarafiki mie nipo kwenye 30+ now lakini sina rafiki napokaa hakuna rafiki wala ndug yang anayepajua mke wangu mwenyewe akiongea sana naondoka zangu,ukipiga simu zaid ya dakika 1 huna cha maana naikata ukipiga sana naizima au nakublock mazima
 
Sasa hizi ni dharau sio u-introvert pekee
 
Mimi naamini asilimia tisini ya watz hawajui maana ya introvert.
Na hata hawa wanao-comment
humu kusema wao ni introvert wengi wao wanaigiza tu kuwa hivyo lakin naturally siyo introvert ..

Na hili nilijihakikishia juzi hapa nilipo pita kwenye uzi mmoja .. nikaona jamaa mmoja kasema yeye ni introvert hali inayopelekea apate shida kupanda daladala 🤣🤣🤣🤣

Nikabaki najiuliza inahusiana vipi kuwa introvert na kupanda daladala ?? .. Nikahitimisha kwa kusema tu watz kwa kuigiza ..
 
Kuwa introvert sio natural
Kuna mambo yanapelekea mtu kuwa introvert
 
Kuwa introvert sio natural
Kuna mambo yanapelekea mtu kuwa introvert
Kuna wengine ndiyo walixaliwa hivyo
Mfano michaelangelo yeye toka kuzaliwa kwake alikuwa hivyo

Ukiona mtu anakwambia sijui mazingira ndiyo yalimgeuza yeye kuwa introvert huyo asilimia 80 anaigiza . Huku ndyo watz wengi walipo
 
Wewe huelewi maana ya Introvert
 
Mbona kama namimi nina hizi tabia zote, nlikuwa sijijui kuwa ndo naaitwa intorovati
 
Introverts nachowapendea kwenye usiri tu,, ukipata rafiki wa namna hii umebahatika maana jambo lenu mnalifanya ipasavyo bila kusikia kwa wengine...pia wengi wao ni maginius...Pia ni watu wanajifunza zaidi wakiwa pekee yao na kutafakari mambo mazito...kwahyo hata humu wanaitwa Introverts msiwadharau pia hata umafya wanao...Nakama unaprivate sector yako ukimuajili kama bodyguard wapo vizuri kwanza hawataki mazoea.
 
Kuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.
Kila kitu kina faida na hasara zake, kuwa Introvert kunaweza kukuletea hasara kubwa kuliko faida.
Hebu tupe hasara!
 
Mlikuwa mnashida nyingine kwenye makuzi yenu.
 
Nina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Hahaha,
Afu ukiangukia mikononi mwa kicheche ulete mrejesho
 
Nina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Anakunyanyasa?
Anakupiga?
Anakutukana?
Anakunyima mahitaji yako muhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…