Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

Mwanaume unalalaje kitandani? Mwanaume unatakiwa ulale sakafuni
 
Aah kwanza mwanaume mzima unalalaje?majukumu unamuachia nani mwanaume hutakiwi kuwa na kitanda chochote
 
Kwanza hiki ni kitanda au Ghorofa? yaani unakuta kijana maskini analalia nusu ya utajiri wake wote. WTF
 
Tunakoelekea utatuambia kitanda cha mwanaume ni kile walichotumia mbao za mlingoti, kilichotengenezwa kwa mninga ni cha kike.
 
Kitanda chake, nyumba yake, pesa yake, kama cha kike kakipenda yeye.

Wewe tatizo lako nini?

Si una kitanda chako unachokitaka? Kwa nini kitanda cha mtu mwingine kikushughulishe sana?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wanaume wa kibongo wako so insecure, yaan wako hai hai kutafuta validation ya uanaume wao, ambao kimsingi hata siuoni kwangu binafsi.
Lol
 
Ila wanaume wa kibongo wako so insecure, yaan wako hai hai kutafuta validation ya uanaume wao, ambao kimsingi hata siuoni kwangu binafsi.
Lol
Hii ni dalili ya mtu kutokuwa na kitu, hana pesa, hana elimu, anashikilia mapumbu yake tu.
 
Dunia inaenda kasi sana
Wote mmekosea

Kitanda cha maana ni kile cha ngozi au spring
 
Halafu mambo ya kutumia social networks km Jf ni umama na ushoga, dume la mbegu inatakiwa utumie barua au ukaushe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…