Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

Dola milioni 10 unaijua wewe au unaota
 
Mleta mada ni mbumbumbu katika michezo, wachezaji kutoka nje ndo wanafanya ligi ifuatiliwe na watu wengi hasa kutoka katika mataifa husika ya wachezaji hao wanakotoka, na kuipandishia ligi na nchi yetu thaman, idiot ndo hataelewa hapa.
 
Leta ushahidi wa Manula kugoma kwenda nje usiongelee ushabiki. Hili la Ngasa lipo wazi na peupe kbs. Lofa mwingine ni Ajib akaitwa na TP MAZEMBE kaona bora aimbe Singeli.
Wakati deal ya kwenda Tp mazembe inamfikia ajibu. Ajibu alishasaini simba na pia aliona mazembe hawezi kupata namba, kitu ambacho ni halisi kabisa.
Ngasa alipoitoroka deal ya Sudan na kwenda Yanga, yanga walikuwa wanampa mil 5 kwa mwezi, japo yanga hawakutimiza ahadi ya kumlipia gharama za kuvunja mkataba wa simba hivyo Ngasa akalazimika kukopa CRDB na Akaka anakatwa kwenye hiyo mil 5, hivyo akajikuta kwa mwezi anakuja kiasi pungufu.
 
Umeona umasikini wa wachezaji wetu unapokuja. Timu kubwa kama Mazembe ikutake halafu unaogopa kisa utakosa namba ni uongo mkubwa. Inakuingia akilini Wasudani wakutake na kitita chote cha pesa washindwe kujadiliana na Yanga?!
 
Lini kakuambia amepagawa na hela za bakhresa? Boko hawezi kulipwa milion 15 huo ni uongo wa kitoto sana
 
Faisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
 
Ngasa ni mpuuzi sana yule atakufa lofa tena atakuwa mlinzi wa magetini. Unatafutwa upewe pesa ndefu anajificha Magomeni kazi kuoa tu. Hopeless sana anayefuatia ya FeiToto asipokuwa makini atamalizia mpira wake hapo Kaunda Stadium.
Ngasa anashinda kinondoni kachoka Hana lolote
 
Sahihisha hapo juu..."wanakunja hadi dola milioni 10"...!
 
Hivi we jamaa unafikiri suala ka mshhara ni MTU anajiamulia Tu nitakulipa hivi Kisha nitakulipa hivi usipikuwa na kiwango...!? Mchezaji anasaidia mkataba...wa miaka miwili au mitatu wenye thamani Sawa...au kuongezeka na sio kupungua...so kama walisaini millioni 10 , hata wasicheze kabisa wataendelea kulipwa hivyo hivyo...mpaka mkataba uishe.

Tukija kwenye swali lako , wapo wachezaji wanaolipwa hiyo pesa kwa kibongo...ila hakuna aliyevuka Dola 5000, kwa wannje hakuna aliyevuka Dola 7000 ..wengi wanarange kwenye Dola 3500 -6500 kwa sasa hivi kwa wachezaji wa nnje...wakati wa kibongo wanarange kwenye Dola 1500 mpaka 4500
 
Dola mil 10
 
Watanzania walivyo na siri hiyo mishahara nyie mmeijuaje??
 
John Bocco kiwango kimepungua sana kwa sasa, Nadhani hata Mo kapata kisingizio cha kumpunguzia
Usichanganye kati ya kiwango na mkataba. Unafikiri ni kwa nini Simba walimtengenezea zengwe Dejan "Lete Mzungu"? Ni kwa sababu mkataba waliouingia unawafunga kumlipa hata kama kiwango ni kidogo au kimeshuka, na njia pekee za kuepuka kuingia hasara ni kuuvunja mkataba, maana hakuna kitu kinachoitwa kupunguza mshahara
 
John Bocco kiwango kimepungua sana kwa sasa, Nadhani hata Mo kapata kisingizio cha kumpunguzia
Mshahara unalipwa kutokana na mkataba, haijalishi kiwango kimeshuka au kimepanda.
 
Kama wameridhia wenyewe, hakuna shida. Na kama hawaridhiki, na wenyewe watoke nje kama wenzao akina Mbwana Samatta, Simon Msuva, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…