Dola milioni 10 unaijua wewe au unaotaKwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi dola milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa japa bongo, kunawea kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani milioni 7 kila mwezi ?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.
John Boccco nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka ila kipindi yupo Hot kuna uwezekano mkubwa hakuna mzawa aliekuwa anamikia kwa mshahara.
Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba kachoka kulipwa mshahara wa kawaida na Meneja wake hana uwezo wa kuwashawishi wahindi wa pale simba wampe Manula mshahara anaostahili