Niliwahi sikia CDA,ule mradi Dom walikuwa wanakuuzia kiwanja unapewa na na condition ya Aina ya nyumba utayotakiwa kujenga kwenye eneo husika Kama sikosei,wataalamu wangeonyesha Hilo,na muda Kama ulivyosemaDada kuna nyumba ambazo hazitoisha kujengwa forever lazima tufikie kwenye makubaliano nyumba ijengwe kwa miaka mingapi kwa level yetu ya maisha na iwe kwny hatua gani?!usipofikia malengo vunja mpk utakapoweza kumudu!inasikitisha baadhi ya watalamu wetu wapo kwa ajili ya kuuza viwanja tu. Ni huzuni.
[emoji2956]In a very serious note,Dar ni Tatizo kwenye issue ya makazi holela...yaani mtu anaamua anajenga chochote popote
Kaka wengi hatuna tamaduni ya kuvisit masterplan ya jiji husika which is very bad nakwambia! Especially huko tunakokwenda.Hiyo inaitwa land use succession🙏 mabadiliko katika matumizi ya Ardhi katika miongo ,kutokana na mabadiliko ya kiuchumi wa nchi,Ina mazuri na mabaya yake hasa kwa nchi maskin Kama Tanzania,ambapo bajeti ya kuregulate hayo mabadiliko haipo,so raia wanajiamulia mabadiliko hayo yaende vipi bila kufuata mastaplan ya mji/jiji husika.
Ndio Kama ilazo zote hazina wateja zinebaki tupu kwa miak Zaid ya mitatu sas hazina wapangaji Ni ujinga SanaWatanzania wengi tunapenda kuigana bila kuwa wabunifu na hata wenye frame unakuta hamna biashara
Ama kweli maisha yana badilika sana ,ulichosema ni kweli kabisa .kipindi cha nyuma miaka ya 2000 huko,kuna ki mji kilikuwepo shinyanga na walio kianzisha wengi ni watumishi wa shirika moja hivi.Trend ya miji ya Kibongo ni kwamba pesa ikifumuka watu wanaanzisha ka-mji ka kishua wanafunga kuta na mageti makali. Watoto wanalelewa kishua kila kitu kipo.
Wazazi Wakizeeka na kuaga dunia watoto wanaishi kwenye majumba mazuri lakini ukute hawana kipato.
Mwisho wa siku wanauza majumba au wanaishi humo wakiendesha biashara haramu nao wanaaga dunia nyumba zinakaliwa na wajomba na mashamgazi ndo hao mnaowaona Masaki.
Tupo humu humuWale wa morogorostore na tulio soma oyster bay primary school tujuane
Ndo hicho wanasema hakukua na mabanda mama ntilie sijui grosary.Walikuwaga wazubaifu Sana🤣🤣🤣
Chole Road mbona mashimo tuWa
Walikuwa wanakuja maduka mawili wanasema mbona lami yenu humu mitaani imechakaa sio Kama Chole road?ukiwaambie tukanywe soda TTC club wanasema Kuna mavumbi sio Kama Slipway nyieeeeeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui na vitoto vya siku hizi vinajidai hivyohivyo
Mipango miji ndiyo ttzIn a very serious note,Dar ni Tatizo kwenye issue ya makazi holela...yaani mtu anaamua anajenga chochote popote
Zambia,lusaka kuna sehemu ya kishuwa ilijengwa inaitwa kingslandKweli kabisa maana unaingia kwenye flat na mashuka tu kila kitu unakikuta wengine wakajisahau
Kinondoni,mwananyamala,magomeni,ilala yenyewe zamani waliplan vzr sana mpaka barabara nyingi kuwa na lami,garden nk,ona leo sasaKaka wengi hatuna tamaduni ya kuvisit masterplan ya jiji husika which is very bad nakwambia! Especially huko tunakokwenda.
We umewasahau mbwembwe zao🤣🤣Chole Road mbona mashimo tu
Mengi
Ova
Kuna jambo lazima lifanyike Kama taifa,tatizo hii nchi Uhuru umezidiMipango miji ndiyo ttz
Utakuta nyumba ziko nzuri lakini
Watu wamejengeana mpaka mbele ya mageti
Ova
Ungekuwa umeosha macho kidogo, usingeandika comment hii.Usikariri mzee
Dah inauma sana hivi hawa washamba na wajuaji walitoka wapi?!Kinondoni,mwananyamala,magomeni,ilala yenyewe zamani waliplan vzr sana mpaka barabara nyingi kuwa na lami,garden nk,ona leo sasa
Vurugu tupu
Ova
Kwa hiyo Wana kutoka uswazi ndio mlikuwa mnapiga harakati zenu kule?🤣🤣🤣mwenyewe wameshiba chapati na maini wamelalaNdo hicho wanasema hakukua na mabanda mama ntilie sijui grosary.
Kule masaki mwisho daladala zinapogeuza watu walikua wanajilia bata tu bei sawa na bure.
Ukibeba demu mara nyingi watoto wa mama ntilie au wahudumu wa kinywaji mnamalizana vichakani tu hapo beach hamna guest..
Unarudi home mwepeesi.
Watoto wa geti wamelala tu washashiba.
Obay,masaki miundombinu ya barabara ilichelewa sana kupelekwaWe
We umewasahau mbwembwe zao[emoji1787][emoji1787]
Dar Ina wahamiaji wengi Sana,mji unaelemewa....na wanaharibu ni wenye nyumba na hivyo Viwanja wanauza na kupangisha holela yaani mtu akija tu na sh kadhaa anakatiwa 10*10,anapewa,anangojwa mwingine...Dah inauma sana hivi hawa washamba na wajuaji walitoka wapi?!
Obay,masaki miundombinu ya barabara ilichelewa sana kupelekwa
Zamani utotoni tukienda huko tukirudi
Kila mtu anajua mmetoka masaki,maana lile dongo jekundu
Ova
Eeeh wewe nae kitambo Sana,tangu dongo jekundu?Obay,masaki miundombinu ya barabara ilichelewa sana kupelekwa
Zamani utotoni tukienda huko tukirudi
Kila mtu anajua mmetoka masaki,maana lile dongo jekundu
Ova