Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Dada kuna nyumba ambazo hazitoisha kujengwa forever lazima tufikie kwenye makubaliano nyumba ijengwe kwa miaka mingapi kwa level yetu ya maisha na iwe kwny hatua gani?!usipofikia malengo vunja mpk utakapoweza kumudu!inasikitisha baadhi ya watalamu wetu wapo kwa ajili ya kuuza viwanja tu. Ni huzuni.
Niliwahi sikia CDA,ule mradi Dom walikuwa wanakuuzia kiwanja unapewa na na condition ya Aina ya nyumba utayotakiwa kujenga kwenye eneo husika Kama sikosei,wataalamu wangeonyesha Hilo,na muda Kama ulivyosema
 
Hiyo inaitwa land use succession🙏 mabadiliko katika matumizi ya Ardhi katika miongo ,kutokana na mabadiliko ya kiuchumi wa nchi,Ina mazuri na mabaya yake hasa kwa nchi maskin Kama Tanzania,ambapo bajeti ya kuregulate hayo mabadiliko haipo,so raia wanajiamulia mabadiliko hayo yaende vipi bila kufuata mastaplan ya mji/jiji husika.
Kaka wengi hatuna tamaduni ya kuvisit masterplan ya jiji husika which is very bad nakwambia! Especially huko tunakokwenda.
 
Watanzania wengi tunapenda kuigana bila kuwa wabunifu na hata wenye frame unakuta hamna biashara
Ndio Kama ilazo zote hazina wateja zinebaki tupu kwa miak Zaid ya mitatu sas hazina wapangaji Ni ujinga Sana

Kuna mzee MMOJA muhaya pale Moro kionda alistaafu mwaka 2010 akajenga fremu zake 10 za garama kubwa mno zikaisha mpk Leo hakuna mpangaji na ukitaka kupanga Kodi Ni 50 had 30 hkn wateja Ni hasra tupu
 
Trend ya miji ya Kibongo ni kwamba pesa ikifumuka watu wanaanzisha ka-mji ka kishua wanafunga kuta na mageti makali. Watoto wanalelewa kishua kila kitu kipo.

Wazazi Wakizeeka na kuaga dunia watoto wanaishi kwenye majumba mazuri lakini ukute hawana kipato.

Mwisho wa siku wanauza majumba au wanaishi humo wakiendesha biashara haramu nao wanaaga dunia nyumba zinakaliwa na wajomba na mashamgazi ndo hao mnaowaona Masaki.
Ama kweli maisha yana badilika sana ,ulichosema ni kweli kabisa .kipindi cha nyuma miaka ya 2000 huko,kuna ki mji kilikuwepo shinyanga na walio kianzisha wengi ni watumishi wa shirika moja hivi.
Wale wazee walifirisi shirika hilo ,na wote walikuwa wamejenga sehemu moja ,nyumba zote zilikuwa na kuta na mageti ,nyasi zilimea kwa kumwagiliwa maji ya kutosha(garden)

Miaka imeenda wazee wakaanza kuugua na kufa mmoja mmoja,inasemekana ukimwi uliwapiga KO ya hatari ,kipindi kile hakua cha ARV wala nn,walikuwa wana share totozi ,si unajua mambo ya pesa.

Nyumba zilibaki na watoto tu ,nyasi zilikauka kila mji.hali ili badirika sana ,baba na mama hawapo ,unazani famia itakuwaje?
Si mji ule tena ambao ilikuwa ukipita unasikia sauti nene za music taratibu na harafu ya vinono vikikaangwa.

Nyumba ziliuzwa na wajomba na mashangazi baada ya wazazi kuondoka gafla na kukosekana mwelekeo wa malezi.
walio baki ni wachache sana ambao hata leo hii uzao wao upo pale
 
Walikuwaga wazubaifu Sana🤣🤣🤣
Ndo hicho wanasema hakukua na mabanda mama ntilie sijui grosary.
Kule masaki mwisho daladala zinapogeuza watu walikua wanajilia bata tu bei sawa na bure.
Ukibeba demu mara nyingi watoto wa mama ntilie au wahudumu wa kinywaji mnamalizana vichakani tu hapo beach hamna guest..
Unarudi home mwepeesi.
Watoto wa geti wamelala tu washashiba.
 
Wa
Walikuwa wanakuja maduka mawili wanasema mbona lami yenu humu mitaani imechakaa sio Kama Chole road?ukiwaambie tukanywe soda TTC club wanasema Kuna mavumbi sio Kama Slipway nyieeeeeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui na vitoto vya siku hizi vinajidai hivyohivyo
Chole Road mbona mashimo tu
Mengi

Ova
 
Kweli kabisa maana unaingia kwenye flat na mashuka tu kila kitu unakikuta wengine wakajisahau
Zambia,lusaka kuna sehemu ya kishuwa ilijengwa inaitwa kingsland
Aise mahala hapo si mchezo
Bongo sijui tunashindwa nn
Unajua hakuna eneo baya sema tTizo ni namna ya watu wanavyojenga
Huyu kajenga vile huyu kajenga kile
Huyu kaziba njia basi vurugu tupu

Ova
 
Ndo hicho wanasema hakukua na mabanda mama ntilie sijui grosary.
Kule masaki mwisho daladala zinapogeuza watu walikua wanajilia bata tu bei sawa na bure.
Ukibeba demu mara nyingi watoto wa mama ntilie au wahudumu wa kinywaji mnamalizana vichakani tu hapo beach hamna guest..
Unarudi home mwepeesi.
Watoto wa geti wamelala tu washashiba.
Kwa hiyo Wana kutoka uswazi ndio mlikuwa mnapiga harakati zenu kule?🤣🤣🤣mwenyewe wameshiba chapati na maini wamelala
 
Obay,masaki miundombinu ya barabara ilichelewa sana kupelekwa
Zamani utotoni tukienda huko tukirudi
Kila mtu anajua mmetoka masaki,maana lile dongo jekundu

Ova
Eeeh wewe nae kitambo Sana,tangu dongo jekundu?
 
Back
Top Bottom